Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Kweli mkuu hebu tuweke mkeka pate hata supuUshimen ni kiumbe mwenye moyo wa kujitoa sana na kusaidia wenye shida. Mwenyezi Mungu akujalie wepesi upone na kurudi katika hali yako ya kawaida.
Duuh pole sana mwana familia mwenzetu! Na MUNGU [emoji1431] ampe wepesi apone na ampunguzie maumivu. Tunamuombea yuko pamoja naye aliyemuumba[emoji1431][emoji1431].Na hii ndio taarifa yake
Habari ya asubuhi wana familia.
Sisi tunaumwa, nilipata ajali mbaya tarehe 5 October na ilionekana nimepata fracture kwenye mguu, siku tatu mbela ikaonekana nimepata clavicle dissociate (mfupa wa bega ulipishana.
Na nilimuona bingwa wa mifupa tukapata matibabu (arm sling na figger of 8).
Niliendelea kupata nafuu hadi tarehe 24 ghafla nilianza kupata maumivu mapya upande wa kulia kama kichomi kikali, tulipata rufaa na sasa tupo muhimbili Sewahaji 17 room 12.
Nimetobolewa pafu baada ya kugundilika lili pata kuvia dam na uzembe ulifanyika kwa kutokugundua tatizo hilo na nikakaa na shida hiyo kwa wiki 3.
Kwakifupi hatuendelei vizuri sana lakini nashkuru Mungu naendelea kutoa damu kwenye pafu na sasa nikama inatoa usaha.
Leo kuna vipimo tutafanya pamoja na kukaa na wataalam, kama ikiwa bora zaidi tunaweza sogea kwa nchi yenye wataalamu zaidi ili tupate kupona.
Naomba mtuweke kwenye maombi n Mungu atawabariki sana.
NB: Kwenye ajali hiyo mbaya iliyohusisha madereva wawili pamoja na Ushimen! Dereva wa kwanza ambaye ndie alisababisha ajali hiyo mbaya alikufa pale pale.. Dereva wa pili aliyekuwa na Ushimen alifariki siku tatu baadae
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kumuepusha ndugu yetu na kifo.. Tumuombee nafuu ya mapema
Pole sana classmate!Aisee..... "Classmate"
Pole sana.. brother
Pole yake Mungu amponyeNa hii ndio taarifa yake

Duh he looks like Dr Isack Maro ... All in all rest easy young DrView attachment 3139621
Huyu pia daktari kijana alifarik last week alikua kitengo Cha mifupa tmk hospital
Alifarik kwa ajar za barabarani
Hakika.Hili ni tatizo Sana kwa elimu ya Tanzania ππππ«€.
Duh he looks like Dr Isack Mar. ... All in all rest easy young Dr