Taarifa ya ajali ya Treni katika eneo la Bahi jijini Dodoma

Taarifa ya ajali ya Treni katika eneo la Bahi jijini Dodoma

Kama hiyo picha ya mmomonyoko wa ardhi ni ya eneo la tukio basi kuna watu mjiandae kuwajibika. Haiwezekani mruhusu treni pasipo na kujiridhisha na usalama wa njia kwanza, vinginevyo labda mvua iwe ilipiga wakati treni ilishaondoka kituo cha mwisho. Najua jiwe baada ya kuona zile picha ana hasira vibaya sana. Nyie sibirini tu mtaniambia tu.
 
Poleni sana,,inabidi sasa nabehewa yawekewe mikanda kila siti
 
Picha ya reli inaonesha kuwa kulikuwa na mmomonyoko kwenye reli hii inamaana reli haikufanyiwa ukaguzi kabla treni kuondoka stesheni ya mwisho.

Maelezo marefu ya shirika la reli tayari yanaonesha udhaifu wenu mliougundua wa kutoikagua reli kabla ya treni kuondoka na ni wazi uongozi wa shirika unawajibika kwa hili.
Hawa jamaa ni wauwaji.
Hawa ni wa kuwashitaki hiyo reli imeliwa na maji kabisa...eti wanachunguza...this is purely madness.
Hakuna shirika hapo..wacha waendelee kula tu mishahara ya Magufuli.
 
Hawa jamaa ni wauwaji.
Hawa ni wa kuwashitaki hiyo reli imeliwa na maji kabisa...eti wanachunguza...this is purely madness.
Hakuna shirika hapo..wacha waendelee kula tu mishahara ya Magufuli.

Ukisoma ile taarifa moja kwa moja utaona kuna kitu kinafishwa. Ila kwa vile CEO ni msukuma, msitegemee yeyote kuwajibishwa
 
Kama hiyo picha ya mmomonyoko wa ardhi ni ya eneo la tukio basi kuna watu mjiandae kuwajibika. Haiwezekani mruhusu treni pasipo na kujiridhisha na usalama wa njia kwanza, vinginevyo labda mvua iwe ilipiga wakati treni ilishaondoka kituo cha mwisho. Najua jiwe baada ya kuona zile picha ana hasira vibaya sana. Nyie sibirini tu mtaniambia tu.

Kadogosa ni wa kule kwetu hakuna atakae wajibiswa hapo. Pole sana kwa majeruhi na Mungu awafanyie wepesi waliopoteza ndugu zao. Ajali haina kinga
 
Hawa jamaa ni wauwaji.
Hawa ni wa kuwashitaki hiyo reli imeliwa na maji kabisa...eti wanachunguza...this is purely madness.
Hakuna shirika hapo..wacha waendelee kula tu mishahara ya Magufuli.
Wauwaji wakubwa. Tunajua madhara ya ajali ya treni yalivyo makubwa. Bahati njema yametokea madhara madogo japo vifo vipo. Inawezekana pia dereva aliendesha taratibu sana kwa tahadhali vinginevyo leo hapo jamhuri stadium leo miili zaidi ya Watanzania 100 ingekuwa imelala pale kusubiri utambuzi. Na kukomesha uzembe wa namna hii lazima watu wawajibike kikwelikweli. Tusiishie kuchapa viboko waiba viti vya shule tu. Kamata tupa ndani wote waliohusika na hujuma hii kuanzia CEO huko juu hadi ma station master ili siku nyingine watu wajifunze kujali maisha ya binadamu wenzao.
 
Mwaka jana nilisafiri kwa treni kwenda moshi, treni ilitarajiwa kufika saa 2 asubuhi lakini tulifika saa saba mchana. Sababu ya kuchelewa ilikuwa ni kusimama simama kwa treni kisa NYASI ZIMEFUNIKA RELI hasa baada ya stesheni ya Korogwe. Niliona ni uzembe wa stesheni masters wa vituo vile na kutokujali maisha ya abiria. Kufyeka nyasi tu kunawashinda?
Inasikitisha mkuu. Naomba nikueleweshe kuwa Railway ina idara nyingi na kati ya hizo pana Usafirishaji na Miundo mbinu kwa maana ya njia.
Station Master yumo katika idara ya Usafirishaji, ile idara ya Miundo mbinu pana watu maalumu ambao wanawajibika kuona njia 'rail line' ni salama saa 24.
Wengi wanafahamu Station Master ndo kila kitu, hapana yeye kwenye kituo ni 'public figure' ya shirika na ndo mtoa taarifa ya kila kitu sehemu husika.
Aksante na karibu sana.
 
Kuna hiyo treni iliua watu 500+ hapo bahi kituo hicho hicho.
Siku moja treni hiyo hiyo nimepanda hapo manyoni. Jamaa wanaweka abiria ndani ya mabehewa mi nimekutana na dereva analewa tu safari na carwosh yake nikamwongeza .
Na kweli jamaa kazichapa honi imepigwa ndo huyoo ndani ya kichwa cha treni.mi nimezama ngoma inaondoka.
E bana tulipita tu hapo Saranda taratibu akapakia, toka hapo ile treni nafkiri jamaa alifumua kila kitu sababu pia toka hapo ni mteremko mkali na tambarare mpk dom.
Treni inaita tu na kufonya, spidi usifanye mchezo ,ile spidi kuna nini wala nini mbele ni kupita tu.
Hatukupata ajali ila humo njiani hamna abiria anajua kitu. Mi najua huyu jamaa kalewa
Mbona sikuelewi mkuu. Tulia uandike upya habari yako.
 
Picha ya reli inaonesha kuwa kulikuwa na mmomonyoko kwenye reli hii inamaana reli haikufanyiwa ukaguzi kabla treni kuondoka stesheni ya mwisho.

Maelezo marefu ya shirika la reli tayari yanaonesha udhaifu wenu mliougundua wa kutoikagua reli kabla ya treni kuondoka na ni wazi uongozi wa shirika unawajibika kwa hili.
Hata Mimi nilitaka kuuliza, ule utaratibu wa kukagua reli hivi sasa haupo? hasa kipindi hiki cha mvua?
 
SGR inakuja, kwa style hii hakika tutayaona makubwa. Treni inaanza safari kumbe hawajafanya ukaguzi wa njia. Huo mmomonyoko hapo unauliza mara mbili kujua chanzo cha ajali? Pathetic!

Tunaweza kujenga/kutengeneza vitu vizuri, usimamizi zero kabisa, wait and see hiyo SGR inayojengwa kwa trillions of shillings, utashangaa huo usimamizi wake. Futseke!
Nakubaliana na wewe 100%. Hivi tuna matatizo gani jamani? Mpaka Waziri Mkuu afuatilie? Tuna matatizo gani sisi Wa-tz?
 
Kunjani!

Maintenance ni shida, nimeangalia vituo vipya vya mabasi ikifika miaka mi5, vingi vitakuwa na hali mbaya, cha Dodoma ukuta wa jengo tiyari unakuwa mchafu!

Everyday is Saturday 😎
Ndio maana Mheshimiwa Mkapa ali- privatize kila kitu, alaa!! Mnapewa ajira halafu mpaka msukumwe ndio muwajibike? Lete Mchina hapa, toa hii ngozi nyeusi, alaah!!
 
I suggest, SGR iendeshwe na private company! Short of that we will suffer the consequences! I'm sure of it
 
Kama hiyo picha ya mmomonyoko wa ardhi ni ya eneo la tukio basi kuna watu mjiandae kuwajibika. Haiwezekani mruhusu treni pasipo na kujiridhisha na usalama wa njia kwanza, vinginevyo labda mvua iwe ilipiga wakati treni ilishaondoka kituo cha mwisho. Najua jiwe baada ya kuona zile picha ana hasira vibaya sana. Nyie sibirini tu mtaniambia tu.
Vibaya mnooooo!!!
 
Kusema ukweli sisi Wa-tz tuna matatizo sana. Mpaka tusukumwe ndio tunawajibika. Kujituma tumekuwa wazito sana. Tuna ile kasumba "aa! nadhani reli iko fiti, mruhusu tu". Halafu watu wanakufa.
Kisha tunaomba radhi
 
Back
Top Bottom