Taarifa ya ajali ya Treni katika eneo la Bahi jijini Dodoma

Taarifa ya ajali ya Treni katika eneo la Bahi jijini Dodoma

Mabehewa ya treni chuma tupu. Weka mikanda ya kuwashikilia watu, watasagwa kama kokoto kwenye "crusher".
Ajali nyingi za treni,mabehewa huwa magumu hayavunjiki kirahisi,vifa vinasababishwa na mtu kurushwa na kujigongesha huku na huku pindi treni inaanguka,kama umevaa mkanda,hauwezi kurushwa,utabaki kwenye kiti,unless labda kiti king'oke
 
Inaweza ikasaidia japo kwa kweli ajali zake huwa na mshindo sana. Mwaka 1983 kama sikosei ajali mbaya ilitokea Makutupora, ilichinja kama kuku. Miaka ya miaka ya mwanzo ya 90 treni ilitumbukia majini usiku maeneo ya Kidete ikaondoka na watu. Kubwa kuliko ile ya Igandu-Msagali.Kiujumla ajali za treni nyingi huwa mbaya sana, Mungu atuepushie tu.
 
Ajali nyingi za treni,mabehewa huwa magumu hayavunjiki kirahisi,vifa vinasababishwa na mtu kurushwa na kujigongesha huku na huku pindi treni inaanguka,kama umevaa mkanda,hauwezi kurushwa,utabaki kwenye kiti,unless labda kiti king'oke
Treni inakatisha tiketi mpaka za kusimama msimu huu, huu mkanda unafungia wapi??

Watu wanasimama na waandikwa kwenye passenger manifest, nafikiri ni legal, kusimama kutoka Dar mpaka Mwanza. Nilisafiri mwaka jana nikaapa NEVER again. Hiyo 1st class ilikuwa kwikwi sijui huko last class kulikuwaje!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Hayo maneno yamenikumbusha seminarini katika siku za misa za kingereza
Kanisani kwetu kuna rosary kila siku baada ya misa ya asubuhi kwa anae penda. Baada ya Litania tunawaombea marehemu wote hasa wa siku ile.

Pensioners wana muda wote hawana shida tena ni wajanja wana taka damu changa ziongoze sala. Ukikosea wanakusahihisha.
 
Treni inakatisha tiketi mpaka za kusimama msimu huu, huu mkanda unafungia wapi??

Watu wanasimama na waandikwa kwenye passenger manifest, nafikiri ni legal, kusimama kutoka Dar mpaka Mwanza. Nilisafiri mwaka jana nikaapa NEVER again. Hiyo 1st class ilikuwa kwikwi sijui huko last class kulikuwaje!

Everyday is Saturday............................... 😎
😁😁😁😁huko last class tunaita 'kajamba nani'mkuu.Kule tunapaweza wenyewe
 
Kusema ukweli sisi Wa-tz tuna matatizo sana. Mpaka tusukumwe ndio tunawajibika. Kujituma tumekuwa wazito sana. Tuna ile kasumba "aa! nadhani reli iko fiti, mruhusu tu". Halafu watu wanakufa.
Sawia mkuu, sijui alotuloga ni nani?
 
Hizi ajali za treni zinakuwa sawa/daraja moja na ajali za mabasi?
Treni ya abiria kisheria inatakiwa iwe na bima au la?

Hili shirika ni la watz, na sijawai ona wahanga wa ajali za treni wakilipwa na bima, au management ya shirika ni wajanja janja kama matajiri wa mabasi?
 
TRC wajifunze kwa TAZARA...

....Mataaluma ya reli ya TRC ni majanga tupu,waweke zege la maana watoe vile vibati vyao.

Waboreshe mabehewa yawe kama TAZARA....

Ukitaka kuenjoy train panda express TAZARA afu ukae 1 class au super seat...aisee hutotamani ushuke ukienda behewa la burudani ndo usiseme...njooni kusafi ata kuoga unakoga kabsa.
 
Reli bila magenge haiwezi kukosa ajari, mkoloni alipojenga reli aliweka magenge kila kilomita kadhaa kwa ajili ya ukaguzi wa reli, treni siyo basi, kichwa au behewa likianguka kuliinua si kitu kidogo na itahusu kuikarabati reli kwa gharama kubwa.
 
TRC wajifunze kwa TAZARA...

....Mataaluma ya reli ya TRC ni majanga tupu,waweke zege la maana watoe vile vibati vyao.

Waboreshe mabehewa yawe kama TAZARA....

Ukitaka kuenjoy train panda express TAZARA afu ukae 1 class au super seat...aisee hutotamani ushuke ukienda behewa la burudani ndo usiseme...njooni kusafi ata kuoga unakoga kabsa.
Kwani wamebadili utaratibu mkuu hao TAZARA! Nilisafiri nao miaka ya mwishoni ya 90 sasa nikapata kiu ya maji ya dhahabu, kwenda 'Buffet car' nikaambiwa muda bado mpaka saa moja jioni, nikarejea chumbani nikalala.
 
Mwaka jana nilisafiri kwa treni kwenda moshi, treni ilitarajiwa kufika saa 2 asubuhi lakini tulifika saa saba mchana. Sababu ya kuchelewa ilikuwa ni kusimama simama kwa treni kisa NYASI ZIMEFUNIKA RELI hasa baada ya stesheni ya Korogwe. Niliona ni uzembe wa stesheni masters wa vituo vile na kutokujali maisha ya abiria. Kufyeka nyasi tu kunawashinda?

Station master? Hausiki na kufyeka nyas mkuu
 
Back
Top Bottom