Taarifa ya ajali ya Treni katika eneo la Bahi jijini Dodoma

Taarifa ya ajali ya Treni katika eneo la Bahi jijini Dodoma

Hawa jamaa ni wauwaji.
Hawa ni wa kuwashitaki hiyo reli imeliwa na maji kabisa...eti wanachunguza...this is purely madness.
Hakuna shirika hapo..wacha waendelee kula tu mishahara ya Magufuli.
Inawezekana reli imeliwa na mchwa au wale magaidi wa Singida wakati wa uchaguzi.
 
Picha ya reli inaonesha kuwa kulikuwa na mmomonyoko kwenye reli hii inamaana reli haikufanyiwa ukaguzi kabla treni kuondoka stesheni ya mwisho.

Maelezo marefu ya shirika la reli tayari yanaonesha udhaifu wenu mliougundua wa kutoikagua reli kabla ya treni kuondoka na ni wazi uongozi wa shirika unawajibika kwa hili.
Naamini ndugu Kadogosa hawezi kupona kwa hili,anajisifu sana kwenye ukaguzi
 
Treni hii iliwasili Dodoma majira ya saa 9:15 alasiri na Kuondoka Dodoma majira ya Saa 11:40 Jioni. Treni hii iliwasili katika kituo cha Kigwe majira ya saa 12:25 Jioni na Kuondoka saa 12:27 Jioni

Kuna uzi humu ulisambaa kabla ya saa 12 jioni ukizungumzia hiyo ajali, je nani mwongo kati ya mtoa uzi na TRC
 
Kwahyo nawewe unaniuliza swali sio?
Mkuu kwa Tanzania hii kuna nafuu tu ila si kwa viwango bora vya huduma. Labda uwe ni mfanyakazi huko unatoa sifa tu ila ukweli kote ni uozo mtupuu huduma hoiii sana .
 
Mkuu kwa Tanzania hii kuna nafuu tu ila si kwa viwango bora vya huduma. Labda uwe ni mfanyakazi huko unatoa sifa tu ila ukweli kote ni uozo mtupuu huduma hoiii sana .
Sipo kuilinganisha Tanzania na taifa lengne kwa utoaji wa huduma..

Pont yangu kuitaka TRC wajifunze kwa TAZARA...hasa Kwenye barabara pia Kwenye kuhakikisha usalama wa abiria.

Uwezi jua hayo Kama hujawai itumia train ya TRC na TAZARA.
 
Kwenye barabara tena?
 
Ni kweli hahusiki kufyeka nyasi lakini anawajibika kuhakikisha njia ni salama kabla hajaruhusu treni kuendelea na safari
Yupo SUB PERMANENT WAY INSPECTOR yeye ndo shughuli yake haswa na watu wake wa chini Kama Fundi, keymen na watendaji wa chini ndo wao wahusika na Track.
 
TRC wajifunze kwa TAZARA...

....Mataaluma ya reli ya TRC ni majanga tupu,waweke zege la maana watoe vile vibati vyao.

Waboreshe mabehewa yawe kama TAZARA....

Ukitaka kuenjoy train panda express TAZARA afu ukae 1 class au super seat...aisee hutotamani ushuke ukienda behewa la burudani ndo usiseme...njooni kusafi ata kuoga unakoga kabsa.
TRC njia yake ni nyembamba sana, (narrow gauge) ndio maana na mabehewa ni membamba. Ni mtindo wa ujenzi wa reli wa kizamani sana.
Inatakiwa reli yote ibadilishwe iwe pana.
Na hizi taaruma za chuma ni za kuachana nazo sababu zinaoza na kubonyea upesi.

Sehemu nyingi haijajengwa mifereji ya maji pembeni ya reli, na kwenye tuta hakujawekwa karavati kubwa za kupitisha maji kwenda upande mwingine. Ndio maana maji yanapojaa yanazoa tuta la reli.

Hii reli imeondoa maisha ya watu wengi sana.
Kuna siku hata zile train za ndani ya jiji (Ubungo na Pugu) zitakuja chinja mamia ya watu maana hakuna uboreshaji wowote wa njia unaofanyika. Hasa reli ya Ubungo ni hatari sana.
 
Yupo SUB PERMANENT WAY INSPECTOR yeye ndo shughuli yake haswa na watu wake wa chini Kama Fundi, keymen na watendaji wa chini ndo wao wahusika na Track.
Hivi SPWI bado wanatumia vile vitoroli vya kusukuma?Wale wasukumaji huwa mafundi sana kukimbia juu ya reli
 
Ndio maana Mheshimiwa Mkapa ali- privatize kila kitu, alaa!! Mnapewa ajira halafu mpaka msukumwe ndio muwajibike? Lete Mchina hapa, toa hii ngozi nyeusi, alaah!!
Hivi uliisikia hotuba ya mheshimiwa Rais kule Arusha mwaka jana??
 
Back
Top Bottom