Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Inawezekana reli imeliwa na mchwa au wale magaidi wa Singida wakati wa uchaguzi.Hawa jamaa ni wauwaji.
Hawa ni wa kuwashitaki hiyo reli imeliwa na maji kabisa...eti wanachunguza...this is purely madness.
Hakuna shirika hapo..wacha waendelee kula tu mishahara ya Magufuli.
Naamini ndugu Kadogosa hawezi kupona kwa hili,anajisifu sana kwenye ukaguziPicha ya reli inaonesha kuwa kulikuwa na mmomonyoko kwenye reli hii inamaana reli haikufanyiwa ukaguzi kabla treni kuondoka stesheni ya mwisho.
Maelezo marefu ya shirika la reli tayari yanaonesha udhaifu wenu mliougundua wa kutoikagua reli kabla ya treni kuondoka na ni wazi uongozi wa shirika unawajibika kwa hili.
Treni hii iliwasili Dodoma majira ya saa 9:15 alasiri na Kuondoka Dodoma majira ya Saa 11:40 Jioni. Treni hii iliwasili katika kituo cha Kigwe majira ya saa 12:25 Jioni na Kuondoka saa 12:27 Jioni
Tanzania hii nisijue Tazara ?Ngoja kwanza...unaijua TAZARA lakini?
Kwahyo nawewe unaniuliza swali sio?Tanzania hii nisijue Tazara ?
Mkuu kwa Tanzania hii kuna nafuu tu ila si kwa viwango bora vya huduma. Labda uwe ni mfanyakazi huko unatoa sifa tu ila ukweli kote ni uozo mtupuu huduma hoiii sana .Kwahyo nawewe unaniuliza swali sio?
Sipo kuilinganisha Tanzania na taifa lengne kwa utoaji wa huduma..Mkuu kwa Tanzania hii kuna nafuu tu ila si kwa viwango bora vya huduma. Labda uwe ni mfanyakazi huko unatoa sifa tu ila ukweli kote ni uozo mtupuu huduma hoiii sana .
Kwenye barabara tena?Sipo kuilinganisha Tanzania na taifa lengne kwa utoaji wa huduma..
Pont yangu kuitaka TRC wajifunze kwa TAZARA...hasa Kwenye barabara pia Kwenye kuhakikisha usalama wa abiria.
Uwezi jua hayo Kama hujawai itumia train ya TRC na TAZARA.
Jiongeze mzee... ayaa basi ni njiaKwenye barabara tena?
Yupo SUB PERMANENT WAY INSPECTOR yeye ndo shughuli yake haswa na watu wake wa chini Kama Fundi, keymen na watendaji wa chini ndo wao wahusika na Track.Ni kweli hahusiki kufyeka nyasi lakini anawajibika kuhakikisha njia ni salama kabla hajaruhusu treni kuendelea na safari
πππJiongeze mzee... ayaa basi ni njia
TRC njia yake ni nyembamba sana, (narrow gauge) ndio maana na mabehewa ni membamba. Ni mtindo wa ujenzi wa reli wa kizamani sana.TRC wajifunze kwa TAZARA...
....Mataaluma ya reli ya TRC ni majanga tupu,waweke zege la maana watoe vile vibati vyao.
Waboreshe mabehewa yawe kama TAZARA....
Ukitaka kuenjoy train panda express TAZARA afu ukae 1 class au super seat...aisee hutotamani ushuke ukienda behewa la burudani ndo usiseme...njooni kusafi ata kuoga unakoga kabsa.
Hivi SPWI bado wanatumia vile vitoroli vya kusukuma?Wale wasukumaji huwa mafundi sana kukimbia juu ya reliYupo SUB PERMANENT WAY INSPECTOR yeye ndo shughuli yake haswa na watu wake wa chini Kama Fundi, keymen na watendaji wa chini ndo wao wahusika na Track.
Bado wanatumia ndiyo hizo push trolley.Hivi SPWI bado wanatumia vile vitoroli vya kusukuma?Wale wasukumaji huwa mafundi sana kukimbia juu ya reli
Hivi uliisikia hotuba ya mheshimiwa Rais kule Arusha mwaka jana??Ndio maana Mheshimiwa Mkapa ali- privatize kila kitu, alaa!! Mnapewa ajira halafu mpaka msukumwe ndio muwajibike? Lete Mchina hapa, toa hii ngozi nyeusi, alaah!!