Taarifa ya Al Jazeera kuhusu mauaji kule Jazira imetangazwa faster kuliko kawaida

UTAKUTA LIMATUMBI JEUSIII TII KAMA TAKO LA IDDI AMINI LINA SIJDAH TENA INANG'AA NA KUONEKANA NA HUO UWEUSI WAKE. LAKINI CHA AJABU MIARABU INASWALI KILA SIKU MARA TANO HAINA SIJDAH NA NI WEUPEE. ETI MIMATUMBI IMEAHIDIWA IKIFA KWENYE UISLAMU UTABADILIKA NA KUWA MIARABU NDO MAANA INAJITUMA SANA KWENYEUISLAM.

adriz Malaria 2 Jagina
 
Huifuatilii tu Aljazeera,wana vipindi vya the stream,Aljazeera world,people and power na inside story ambavyo vinajadili matatizo mbali mbali.
Kuna kipindi kimoja cha inside story walijadili matatizo ya wamaasai wa Tanzania kuhamishwa Ngorongoro.
 
Du... Kijiji kilichovamiwa ni cha sudan kusini? Au ni ile vita ya Sudan (khartoum) inaendelea?
Ile ya khatoum mda huu naona wamerejea tena kwenye taarifa ya leo
 
Huifuatilii tu Aljazeera,wana vipindi vya the stream,Aljazeera world,people and power na inside story ambavyo vinajadili matatizo mbali mbali.
Kuna kipindi kimoja cha inside story walijadili matatizo ya wamaasai wa Tanzania kuhamishwa Ngorongoro.
Mkuu hata mda huu nafatilia sidhani kama Kuna siku nimeacha kuangalia Al Jazeera na CGTN ila katika kipindi hiki haya matukio yote mawili yanahusisha mauaji makali na almost genocide yanapaswa kupewa uzito sawa katika coverage
 
Kuna sehem umemiss ila kuzungumzia wamewahi kaka,japo hawajalipa uzito.
 
Kuna sehem umemiss ila kuzungumzia wamewahi kaka,japo hawajalipa uzito.
Leo wameweka uzito nimeona wameenda hospital na kuonesha picha mbalimbali nadhani pamoja na wao ku cover vyombo vya afrika vinapaswa kufanyia kazi huu mgogoro maana nimeona taarifa ya UN watu zaidi ya 7ml wamepoteza makazi pamoja na Mali na wote wanahifadhiwa kambi za wakimbizi
 
Huko Jazira ni wapi, na kumetokea nini exactly, eleza..
 
Huko Jazira ni wapi, na kumetokea nini exactly, eleza..
Jazira ni mji mdogo ulioko Sudan kaskazini wanamgambo wanaotaka kupindua serikali wameua zaidi ya watu 100 ndani ya usiku mmoja na mauaji bado yanaendelea
Watu ml 7 wamepoteza Mali na makazi hakuna shule Wala huduma za kijamii ni mwendo wa risasi
 
Bila Afrika kujikomboa kitabaka,kifikra na kiimani kwa kuwaondoa walioitawala na mabaki ya na kuwarudisha kwao bado vita itakuwa shida tu.
"Chase those crazy baldhead out of Afrika"By Bob Marley
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…