Taarifa ya awali kuhusu hukumu ya Mahakama Kuu masjala kuu Dar es Salaam, kuhusu Wanachama 19 waliofukuzwa CHADEMA

Hivi ni kwa nini wang'ang'anie Kubaki humo Chadema ilihali hawatakiwi? watangaze tu wamejitoa, maisha yaendelee. Kama ni ndoa, ilikwisha vunjwa na kamati tu, na hata kama baraza kuu likiitishwa upya- likiwaondoa akina mbowe na wenzake, maamuzi yatakuwa ni yale yale yaliyo tolewa mwanzo. Akina Mzee wa-save face, wajiondoe wenyewe kuliko kungangania njemba isiyokutaka.
 
Wasuse tu
 
Busara itawale CHADEMA,kaeni na wabunge wenu muombane msamaha mambo yaendeleee acha kufukuzana,jifunze Kwa CCM
Ruzuku inayotokana na kina Mdee wanaendelea kuchukua toka DJ alambe asali
 
Unajua ladha ya ubunge? Kikatiba huwezi kuwa mbunge bila chama. Hapo vita inayopiganwa ni maslahi. Mbowe ana majina yake anayotaka yaingie bungeni na kina mama 19 nao hawawezi kubali maslahi yao kuguswa. Mmoja wa wanawake 19 ni mke wa naibu katibu mkuu wa CHADEMA.
 
Mbowe anakula ruzuku ya chama
 
1. Mshahara wa mbunge plus marupurupu ni nearly 15m/=
2. Wale wamewekwa pale na dola Kwa sababu maalum.
 
Kwamba cdm mnatarajia mahakama ingetoa hukumu tofauti na utashi wa serekali? Hukumu hii bila kujali kama tumeielewa ama ndio hivi mnavyosema cdm, hakuna namna yoyote itaweza kufanyiwa kazi nje ya utashi wa walioweka huko bungeni.
 
Wengi walio comment ni wajinga. Chadema iliwafukuza Halima na wenzie ikamaliza. Walioenda Mahakamani ni kina Halima. Na hukumu ndio hiyo ambayo inatakiwa Halima na wenzie wafukuzwe bungeni mpaka rufaa yao isikilizwe na baraza kuu. Mbona hukumu ipo wazi?
 
Busara itawale CHADEMA,kaeni na wabunge wenu muombane msamaha mambo yaendeleee acha kufukuzana,jifunze Kwa CCM
Katiba ya nchi iko wazi mno, mbunge akifukuzwa uanachama, na ununge umeishia hapo. Huu ununge wa Hawa ni mkono wa serikali, ona wengine walitolewa gerezani usiku na kuapishwa ununge, uliona wapi kama siyo utashi wa serikali?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…