Kwani bibi yako anakaa Marekani??😁😁😁Unaanzaje kuangalia taarifa ya habari ya channel za Bongo??
Chanel ten si ya ccm? Kampeni zimeanza hivyo, na ni agizo linatekelezwaChanel ten naanza kuiona ikifa polepole Yani nimeangalia taarifa yake ya habari Leo amesifiwa binadamu mmoja tu Kila habari anatajwa yeye tu Yani hata kwa kulazimishia aisee inaboa Sana hii nchi kwakweli.
Ila nivile tu kuna watu wamezaliwa kupenda masifa ila ningekuwa mimi ningewakataza maana jina langu Lina chuja linakera linadhihakiwa sana halitumiki kwa heshima hata mungu anakuwa mdogo kwangu wakati mimi ni binadamu tu.
Ivumayo haidumu.
New memberKwani bibi yako anakaa Marekani??😁😁😁
Chanel ten naanza kuiona ikifa polepole Yani nimeangalia taarifa yake ya habari Leo amesifiwa binadamu mmoja tu Kila habari anatajwa yeye tu Yani hata kwa kulazimishia aisee inaboa Sana hii nchi kwakweli.
Ila nivile tu kuna watu wamezaliwa kupenda masifa ila ningekuwa mimi ningewakataza maana jina langu Lina chuja linakera linadhihakiwa sana halitumiki kwa heshima hata mungu anakuwa mdogo kwangu wakati mimi ni binadamu tu.
Ivumayo haidumu.
Chanel ten ni ya sisiemu, ulitaka wasiongelee sisiemu?Chanel ten naanza kuiona ikifa polepole Yani nimeangalia taarifa yake ya habari Leo amesifiwa binadamu mmoja tu Kila habari anatajwa yeye tu Yani hata kwa kulazimishia aisee inaboa Sana hii nchi kwakweli.
Ila nivile tu kuna watu wamezaliwa kupenda masifa ila ningekuwa mimi ningewakataza maana jina langu Lina chuja linakera linadhihakiwa sana halitumiki kwa heshima hata mungu anakuwa mdogo kwangu wakati mimi ni binadamu tu.
Ivumayo haidumu.
Hata mimi nashangaa!Channel ten bado ipo wakuu
Channel Ten ni Mali ya CCM...what do you expect? Hivi Sasa ni karibu na uchaguzi...Chanel ten naanza kuiona ikifa polepole Yani nimeangalia taarifa yake ya habari Leo amesifiwa binadamu mmoja tu Kila habari anatajwa yeye tu Yani hata kwa kulazimishia aisee inaboa Sana hii nchi kwakweli.
Ila nivile tu kuna watu wamezaliwa kupenda masifa ila ningekuwa mimi ningewakataza maana jina langu Lina chuja linakera linadhihakiwa sana halitumiki kwa heshima hata mungu anakuwa mdogo kwangu wakati mimi ni binadamu tu.
Ivumayo haidumu.
Kwani ulilazimishwa kuangalia? Kwani Saccos hawana TV?Chanel ten naanza kuiona ikifa polepole Yani nimeangalia taarifa yake ya habari Leo amesifiwa binadamu mmoja tu Kila habari anatajwa yeye tu Yani hata kwa kulazimishia aisee inaboa Sana hii nchi kwakweli.
Ila nivile tu kuna watu wamezaliwa kupenda masifa ila ningekuwa mimi ningewakataza maana jina langu Lina chuja linakera linadhihakiwa sana halitumiki kwa heshima hata mungu anakuwa mdogo kwangu wakati mimi ni binadamu tu.
Ivumayo haidumu.
au tanzania daima tvAngalieni chadema tv [emoji23][emoji1787]