Taarifa ya Habari ya Channel Ten leo amesifiwa mtu mmoja tu inaboa sana

Taarifa ya Habari ya Channel Ten leo amesifiwa mtu mmoja tu inaboa sana

Chanel ten naanza kuiona ikifa polepole Yani nimeangalia taarifa yake ya habari Leo amesifiwa binadamu mmoja tu Kila habari anatajwa yeye tu Yani hata kwa kulazimishia aisee inaboa Sana hii nchi kwakweli.

Ila nivile tu kuna watu wamezaliwa kupenda masifa ila ningekuwa mimi ningewakataza maana jina langu Lina chuja linakera linadhihakiwa sana halitumiki kwa heshima hata mungu anakuwa mdogo kwangu wakati mimi ni binadamu tu.

Ivumayo haidumu.
Huwa najiuliza Hawa kina yesumtu hivi siku mfumo ukiwatupa wataweza ishi bila kukuabudiwa? Maana mfumo ukitupa unabaki peke yako hakuna cha TBC, musiba,Wala wapambe kupe.
 
Mkuu wa malaika mtukufu toka chatogang international anaesifiwa na kuabudiwa na lumumba wote kwa kulitajataja jina lake tukufu asiyepingwa,asiyekoselewa ni heri umkosoe Mungu utakuwa salama.Mtoa riziki wa wanalumumba na kupe zote.
 
Vijana jifunzeni na kusikiliza vitu tofauti tofauti
Chanel ten, DTV, CTN, MAGIC FM zote hizo ni kama uhuru FM ni mali za chama cha mapinduzi
Rostam azizi alizikabithi kwa mwenyekiti wa ccm na mwenyekiti akazitangaza rasmi kuwa ni mali za chama

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliwauzia ili kununua Uhuru wake awe free,asafishwe dhambi nyekundu ya Kama bendera ya ufisadi
 
Bwana yesu wa taifa asiyepingwa aishie milele yote.
 
Channel Ten ni nini? Au ni moja ya channels za hapa bongo?
 
mr chopa

Mnasifia mpaka mnapitiliza ndo tatizo linaanzia hapo.Mmeamua mumuite yesu sasa😂😂😂😂kesho mtamuita Mungu Sasa kisa kujipendekeza loh!
 
Chanel ten naanza kuiona ikifa polepole Yani nimeangalia taarifa yake ya habari Leo amesifiwa binadamu mmoja tu Kila habari anatajwa yeye tu Yani hata kwa kulazimishia aisee inaboa Sana hii nchi kwakweli.

Ila nivile tu kuna watu wamezaliwa kupenda masifa ila ningekuwa mimi ningewakataza maana jina langu Lina chuja linakera linadhihakiwa sana halitumiki kwa heshima hata mungu anakuwa mdogo kwangu wakati mimi ni binadamu tu.

Ivumayo haidumu.
Itakufa ki vipi?

Ukiacha wewe kuna maelfu wanakipenda wakisifiacho.

Shame on all of you wazee wa KONYAGI .

Subirini TAKUKURU waanze kutaka taarifa za 8.2B.
 
Mnasifia mpaka mnapitiliza ndo tatizo linaanzia hapo.Mmeamua mumuite yesu sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kesho mtamuita Mungu Sasa kisa kujipendekeza loh!
Huo Ni upotoshaji kwa vile chadema ni wahuni wahuni kila kilicho mbele yao wanadandia na hili wamelikuza tu [emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Itakufa ki vipi?

Ukiacha wewe kuna maelfu wanakipenda wakisifiacho.

Shame on all of you wazee wa KONYAGI .

Subirini TAKUKURU waanze kutaka taarifa za 8.2B.
Watu wanaongozwa na mlevi wa taifa unafikiri watakuwa wazima hao [emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Huo Ni upotoshaji kwa vile chadema ni wahuni wahuni kila kilicho mbele yao wanadandia na hili wamelikuza tu [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Kwani mnadhani nyie ndo mna masikio peke yenu?linapenda sifa Hilo zee lenu bana.
 
Si awe anakanusha hizo kufuru Basi?mbona hua anakenua tu?unakumbuka mwanri nae alivyompa sifa za kufuru?unabisha nini?
Itakuwa Ni kichekesho ukanushe kitu ambacho hujasema Wala kufanya!!! Anae kanusha Ni yule aliesema au fanya Hilo tendo.
 
Waziri Mipango alimpogeza kwa kitendo cha kukusanya sadaka kanisani.

Jamaa
Hakimu yeye
Daktari yeye
Ualimu yeye
Engineer yeye
CAG yeye
Mhasibu yeye
Governor mkuu BOT yeye
Yesu yeye
Mchapakazi yeye
Hazina yeye
Mtakatifu yeye
 
Niliwahi kuangalia taarifa ya habari ya channel ten nikaishia kuifuta hiyo channel kwenye king'amuzi changu. Aisee not to that extent! Too much yani kila habari lazima JIWE atajwe hata za kimataifa.
Wapo kwenye biashara mkuu. Mkate wao haukosi siagi, unajua? Biashara ni biashara tu, wengine wanafanya ukahaba, kuna wachimba kaburi, waosha vidonda ndugu, n.k., n.k.
 
Kama anafanya vizuri kwa nini asisifiwe? Huu wivu mwingine wa kijinga kweli,waambie wakusifie wewe sasa.
 
Channel 10,TBC,Star TV,Radio free Africa ( Sahara Media Group chini ya Kada Mtiifu Anton Dialo) na Uhuru Fm vyote ni vyombo vya habar vya ccm!
Hata ITV, EATV na CapitalTV nazo zinaelekea huko maana sasa ni kusifia na kuunga mkono juhudi ambazo hazipo bali blahblah tu.
 
Back
Top Bottom