Valuhwanoswela
JF-Expert Member
- Jun 27, 2019
- 1,228
- 1,127
Mganga wa Kienyeji wa kimataifa mtalaamu wa kujifukiza yeye.Waziri Mipango alimpogeza kwa kitendo cha kukusanya sadaka kanisani.
Jamaa
Hakimu yeye
Daktari yeye
Ualimu yeye
Engineer yeye
CAG yeye
Mhasibu yeye
Governor mkuu BOT yeye
Yesu yeye
Mchapakazi yeye
Hazina yeye
Mtakatifu yeye
Mganga wa Kienyeji wa kimataifa mtalaamu wa kujifukiza yeye.
😂 😂 😂 😂 😂 tengeneza station yako ujisifie na wewe kama unataka izo sifa zote! hata uku bado tutandelea kumsifia na uku ukitaka hamaChanel ten naanza kuiona ikifa polepole Yani nimeangalia taarifa yake ya habari Leo amesifiwa binadamu mmoja tu Kila habari anatajwa yeye tu Yani hata kwa kulazimishia aisee inaboa Sana hii nchi kwakweli.
Ila nivile tu kuna watu wamezaliwa kupenda masifa ila ningekuwa mimi ningewakataza maana jina langu Lina chuja linakera linadhihakiwa sana halitumiki kwa heshima hata mungu anakuwa mdogo kwangu wakati mimi ni binadamu tu.
Ivumayo haidumu.
Slave in the fleshUnaanzaje kuangalia taarifa ya habari ya channel za Bongo??
Who cares??Slave in the flesh
Chanel ten naanza kuiona ikifa polepole Yani nimeangalia taarifa yake ya habari Leo amesifiwa binadamu mmoja tu Kila habari anatajwa yeye tu Yani hata kwa kulazimishia aisee inaboa Sana hii nchi kwakweli.
Ila nivile tu kuna watu wamezaliwa kupenda masifa ila ningekuwa mimi ningewakataza maana jina langu Lina chuja linakera linadhihakiwa sana halitumiki kwa heshima hata mungu anakuwa mdogo kwangu wakati mimi ni binadamu tu.
Ivumayo haidumu.
Nakumbuka kuna mtu alishawahi kukataa kuitwa MTUKUFU Rais... hadi leo MTUKUFU haipo... tusishangae kwa yeyote anayependa sifa ajataka lirudiChanel ten naanza kuiona ikifa polepole Yani nimeangalia taarifa yake ya habari Leo amesifiwa binadamu mmoja tu Kila habari anatajwa yeye tu Yani hata kwa kulazimishia aisee inaboa Sana hii nchi kwakweli.
Ila nivile tu kuna watu wamezaliwa kupenda masifa ila ningekuwa mimi ningewakataza maana jina langu Lina chuja linakera linadhihakiwa sana halitumiki kwa heshima hata mungu anakuwa mdogo kwangu wakati mimi ni binadamu tu.
Ivumayo haidumu.
Acheni kuangalia tv kabisaNiliwahi kuangalia taarifa ya habari ya channel ten nikaishia kuifuta hiyo channel kwenye king'amuzi changu. Aisee not to that extent! Too much yani kila habari lazima JIWE atajwe hata za kimataifa.
Niliwahi kuangalia taarifa ya habari ya channel ten nikaishia kuifuta hiyo channel kwenye king'amuzi changu. Aisee not to that extent! Too much yani kila habari lazima JIWE atajwe hata za kimataifa.