ugolo wa bibi
JF-Expert Member
- Jul 16, 2012
- 1,305
- 302
yapo mambo ya msingi sana kwa sasa yanayosumbua nchi, kuonana na wasanii sio priority labda wawe walikuwa na mambo yao mengine.
Mh. Hii Kurugenzi ya
Mawasiliano Ikulu imeishiwa kazi? Yaani JK kuongea na Diamond inahitaji
taarifa kwa Umma?(Press Release) au imetengenezwa na mwana Jamii
humu?
Umemmasahau na mrembo NAOMI CAMPBEL, ikulu haikutoa taarifa
huyu mtu ananishangaza anapata wapi muda wa kuchezea hivi?