Taarifa ya ikulu kuhusu rais kikwete kufanya mazungumzo na diamond

Taarifa ya ikulu kuhusu rais kikwete kufanya mazungumzo na diamond

Tunakoelekea ni Ikulu kotoa Taarifa kwa tafrija ya siku ya kuzaliwa ya mtoto wa Riz1
 
huyu mtu ananishangaza anapata wapi muda wa kuchezea hivi?
Mh. Hii Kurugenzi ya
Mawasiliano Ikulu imeishiwa kazi? Yaani JK kuongea na Diamond inahitaji
taarifa kwa Umma?(Press Release) au imetengenezwa na mwana Jamii
humu?
 
oh!MUNGU WANGU!
hv na mi nasimama kabisa mbele za watu na kutamka huyu ndiye rais wa nchi yangu!na hapa ndipo ikulu ya nchi yangu na hii ndiyo kurugenzi ya mawasiliano ya ikulu ya tanzania
uuuuwih!
 
haya jk, hebu shughulikia hiyo miito ya simu......fasta
 
msanii kukutana na msanii mweAke kuna ubaya gani, watanzania mtamvuna mlichopanda..
 
Back
Top Bottom