Taarifa ya Israeli Defense Force (IDF) kwa Umma.

Taarifa ya Israeli Defense Force (IDF) kwa Umma.

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Hawa watu sio wa mchezo asee...
 
Attachments

  • Screenshot_20240921_175551_Instagram.jpg
    Screenshot_20240921_175551_Instagram.jpg
    162.1 KB · Views: 1
Na mabomu yameacha kuurushwa sio saivi ana amani hasumbuliwi?
 
Yani ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
Hao watu anakufa huyu anawekwa mwingine.
Hamas si wameuliwa viongozi wao zaidi ya wanne??
Je mapigano ya Hamas yamesitishwa?
Je Hamas wamejisalimisha?
Kwaio "kuto twanga maji kwenye kinu" ni kuua askari wa chini ambao hawana umuhimu wowote?
 
Yani ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
Hao watu anakufa huyu anawekwa mwingine.
Hamas si wameuliwa viongozi wao zaidi ya wanne??
Je mapigano ya Hamas yamesitishwa?
Je Hamas wamejisalimisha?
Uko sahihi. Kila siku tunaambiwa humu huwa wanazaliana kama nzi; ukiuwa 5 wanazaliwa 5,000! Big failure to Israel!
 
Yani ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
Hao watu anakufa huyu anawekwa mwingine.
Hamas si wameuliwa viongozi wao zaidi ya wanne??
Je mapigano ya Hamas yamesitishwa?
Je Hamas wamejisalimisha?
Si sawa hata mkiweka wengine hawawafiki hawa waliouawa kwa uzoefu na israel imewapa uoga hata wengine wanaoteuliwa wataeliminatiwa tena hivyo
 
Si sawa hata mkiweka wengine hawawafiki hawa waliouawa kwa uzoefu na israel imewapa uoga hata wengine wanaoteuliwa wataeliminatiwa tena hivyo
Kwa akili zako za kishabiki zisizo na upembuzi.
Hamas toka ianze hadi sasa ina moto ule ule.
Na vita zinaendelea vile vile.
Hao viongozi hawajaanza kuuliwa leom
 
Uko sahihi. Kila siku tunaambiwa humu huwa wanazaliana kama nzi; ukiuwa 5 wanazaliwa 5,000! Big failure to Israel!
Mnajifariji tu kwa kubana marinda nyie kobazi ili kiukweli inawauma tena viongozi wa hezbolah wawili wameuawa wakiwa kwenye mkutano wakuishambulia israel na viongozi wandamizi 16 wa hezbollah hapo israel amefanya kitu kina Premilitary strikes
 
Yani ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
Hao watu anakufa huyu anawekwa mwingine.
Hamas si wameuliwa viongozi wao zaidi ya wanne??
Je mapigano ya Hamas yamesitishwa?
Je Hamas wamejisalimisha?
Wewe jamaa ni kama fuse moja au mbili zimekufa hapo kichwani.
Kwani Israel akistaafu Netanyahu hakuna mwingine atakayeshika nafasi yake? Hapo tunaongelea mafanikio vitani! Watu wanaeliminate prominent leaders tu! Haya twambie ni kiongozi gani wa Israel amekuwa eliminated?
 
Back
Top Bottom