Taarifa ya JWTZ kwa Umma

Taarifa ya JWTZ kwa Umma

Status
Not open for further replies.
Lakini ile habari si ilikuwa twitted na JWTZ wenyewe? au ile account https://twitter.com/JW_TZ ya JWTZ ni fake?
View attachment 111624

Watu kama nyie ndo mnaiongezea heshima JF tunashukuru kwa kuwabandikia hiyo twit hapo juu waseme sasa kama hiyo akaunti ni yao au sio yao na kama sio yao inakuwaje wanaiachia muda wote huo? na wakuchukuliwa hatua ni mwenye hiyo akaunti sio JF,Jw walinde mipaka ya nchi kazi ya siasa za majitaka wawaachie Nape na Mwigulu
 
Nimeisoma taarifa naona kama inapotoshwa hawajasema wataichukulia hatua JF.
Wamesema watawachukulia hatua walioandika upotoshaji ule na wamesisitiza kuwa zile account za facebook na twitter ni fake.
 
Dah! Sikujua kwamba JF inafuatiliwa na watu wengi kiasi hicho na taarifa za humu zinachukuliwa kwa uzito mkubwa kiasi hicho.Hili kusema kweli limenistua kidogo lakini kwa upande mwengine limenipa moyo. Apongezwe sana mwanzilishi wa Jukwaa hii, Wapongezwe sana Ma mods kwa sababu hii ni ishara kuwa kazi yao waliyoifanya na wanayoifanya ni muhimu na inakubalika mno.Kadhalika ni jambo linalohitaji pongezi na la kutia moyo kwa wahabarishaji wanaotupa taarifa na kuchangia mijadala kwenye jukwaa hili. Ni wajibu wao tu kuongeza umakini ili kuhakikisha wanatupa kitu cha ukweli na uhakika.Kuhusu hiyo taatifa ya JWTZ; kama ilikuwa si sahihi; mleta mada anaweza kulaumiwa tu ikiwa hakuwa na vielelezo, ila kama alikuwa na vielelezo; cha kulaumiwa na chanzo cha habari yake.

Tatizo madogo wanadaigi picha mno ndo maana Jf inakosaga mambo.
Sosi sosi sosi ya nini! Za kintelijansia hazinaga!
 
Nimeisoma taarifa naona kama inapotoshwa hawajasema wataichukulia hatua JF.
Wamesema watawachukulia hatua walioandika upotoshaji ule na wamesisitiza kuwa zile account za facebook na twitter ni fake.

Waaache wafu wazikane wao kwa wao JF hiyooooooooooo!
 
Kwa mtazamo wangu jf ni source kubwa ya information mbalimbali 'cause inawajumbe kutoka kila kichochoro cha tz/jw must not take any action but it the challange for them to reorganise and make sure their security issue should/must not leaks
 
Wacha kuji jambia wewe I'd yako fake mtu wenyewe unaishi sehemu hata gprs haisomi hakuna hata mnara wasimu ukitaka kusikiliza simu lazima upande juu ya mti sasa unaogopa nini?wata kushitaki kwa kosa gani na sheria zipi?

Patamu hapo!!!!!!
 
JWTZ wasije wakaimalizia heshima ndogo iliyobaki mbele ya jamii.

Hivi yule jasusi wa Kagame aliekua kitengo cha IT wamemkamata.?
 
Jeshi sasa limekosa cha kufanya, hili ndio tatizo la kuwa mbwa koko.. Hivi wameshamkamata yule mnyarwanda?
 
sasa hao jwtz watawezaje kuwapata wahusika??

ni kweli habari ii iliwah kuletwa hapa na watu wakachangia lkn kama ni uongo si wakanushe tuu kwani ni mpaka waanze kuvutana mashati na mleta mada/mchangiaji??

naona sasa jwtz wanakosa mwelekeo manake kwao habari kuandikwa ndio ishu, ila kusema ukweli juu ya hali halisi, na pia kutupa mwelekeo hawataki.
Wewe kupatikana sio kazi wakitaka. Aliyetengeneza jf ni binadamu ka wewe lakini najua hawatafanya hivyo hata wao wanapata habari humu lakini tuwe makini tunachoandika kinaweza kuleta madhara makubwa sana bila cc kutarajia.
 
Wewe kupatikana sio kazi wakitaka. Aliyetengeneza jf ni binadamu ka wewe lakini najua hawatafanya hivyo hata wao wanapata habari humu lakini tuwe makini tunachoandika kinaweza kuleta madhara makubwa sana bila cc kutarajia.

Inamaana mods wanaweza kutusaliti kwa kuwapa jwtz id zetu pamoja na clue ili watusake?
 
Kuna masuala yanayostahili kutumia nguvu za mwili na mengine yakihitaji akili na busara kbila kulazimika kutumia nguvu!
Nadhani hili somo kwa wanajeshi wetu wamefundishwa ndivyo sivyo,penye kuhitaji akili wanatumia nguvu na penye kuhitaji nguvu wanatumia akili!

Ifikie mahali wajue hizi si zile zama za The King's African Rifles,ambapo jeshi lilikuwa linaendeshwa kwa code za kikoloni,sasa hivi watu wana uelewa mpana wa mambo! JWTZ they have to know that navigation is not a science but skills,there is no need of making skills harder by putting it in problems!
 
Search kuna kitu kinaitwa Ip address.

Ndiyo nikasema neno "clue" kwa maana kua mod ndo watatoa hizo ip address zetu ili tusakwe? Ama hizo ip address kila mtu anaweza kuzipata kwa kadri anavyotaka? Nipe elimu kidogo namna ya kupata ip address ya mtu from any social network kama jf.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom