Lakini ile habari si ilikuwa twitted na JWTZ wenyewe? au ile account https://twitter.com/JW_TZ ya JWTZ ni fake?
View attachment 111624
Dah! Sikujua kwamba JF inafuatiliwa na watu wengi kiasi hicho na taarifa za humu zinachukuliwa kwa uzito mkubwa kiasi hicho.Hili kusema kweli limenistua kidogo lakini kwa upande mwengine limenipa moyo. Apongezwe sana mwanzilishi wa Jukwaa hii, Wapongezwe sana Ma mods kwa sababu hii ni ishara kuwa kazi yao waliyoifanya na wanayoifanya ni muhimu na inakubalika mno.Kadhalika ni jambo linalohitaji pongezi na la kutia moyo kwa wahabarishaji wanaotupa taarifa na kuchangia mijadala kwenye jukwaa hili. Ni wajibu wao tu kuongeza umakini ili kuhakikisha wanatupa kitu cha ukweli na uhakika.Kuhusu hiyo taatifa ya JWTZ; kama ilikuwa si sahihi; mleta mada anaweza kulaumiwa tu ikiwa hakuwa na vielelezo, ila kama alikuwa na vielelezo; cha kulaumiwa na chanzo cha habari yake.
Jeshi la watawala tanzania-JWTZ
Nimeisoma taarifa naona kama inapotoshwa hawajasema wataichukulia hatua JF.
Wamesema watawachukulia hatua walioandika upotoshaji ule na wamesisitiza kuwa zile account za facebook na twitter ni fake.
Hata kama habari ni za kweli mnadhani watakiri hao...
Wacha kuji jambia wewe I'd yako fake mtu wenyewe unaishi sehemu hata gprs haisomi hakuna hata mnara wasimu ukitaka kusikiliza simu lazima upande juu ya mti sasa unaogopa nini?wata kushitaki kwa kosa gani na sheria zipi?
Hiyo post sikuisoma, niliona kanusho lake tu, hebu niwekee link mkuu niiperuzi na kudaadisi kwanza.Mzee Mwanakijiji huwa hakurupuki. JWTZ watachemsha tu
Wewe kupatikana sio kazi wakitaka. Aliyetengeneza jf ni binadamu ka wewe lakini najua hawatafanya hivyo hata wao wanapata habari humu lakini tuwe makini tunachoandika kinaweza kuleta madhara makubwa sana bila cc kutarajia.sasa hao jwtz watawezaje kuwapata wahusika??
ni kweli habari ii iliwah kuletwa hapa na watu wakachangia lkn kama ni uongo si wakanushe tuu kwani ni mpaka waanze kuvutana mashati na mleta mada/mchangiaji??
naona sasa jwtz wanakosa mwelekeo manake kwao habari kuandikwa ndio ishu, ila kusema ukweli juu ya hali halisi, na pia kutupa mwelekeo hawataki.
There you are.....Watachukua hatua gani sasa...
Huu ni ulimwengu mwingine kabisa tofauti na magazeti....
Wewe kupatikana sio kazi wakitaka. Aliyetengeneza jf ni binadamu ka wewe lakini najua hawatafanya hivyo hata wao wanapata habari humu lakini tuwe makini tunachoandika kinaweza kuleta madhara makubwa sana bila cc kutarajia.
Watachukua hatua gani sasa...
Huu ni ulimwengu mwingine kabisa tofauti na magazeti....
Search kuna kitu kinaitwa Ip address.Inamaana mods wanaweza kutusaliti kwa kuwapa jwtz id zetu pamoja na clue ili watusake?
Search kuna kitu kinaitwa Ip address.