Taarifa ya JWTZ kwa Umma

Status
Not open for further replies.
Kete ya mwisho kabla ya CCM kufa ni jeshi. Mi nilijua itakuwa 2015 kwa amri ya mwanajeshi Kikwete, sasa naona itawahi
 
Huu nao ni upotoshaji wana jamvi, JWTZ walitoa taarifa kukanusha kile kilichosemwa kuhusu likizo za dharura,

Lakin mleta mada anakuja kusema JWTZ latangaza vita naJF, huu ni upotoshaji mkubwa sana, na usipoangalia mleta mada hiyo IP yako wataitumia wakukamate wewe unaepotosha umma, eti VITA KALI JWTZ Vs
JF.

Kwa akili yako JWTZ linaweza tanganza vita na JF? acheni upotoshaji watanzania.
 
Umewapa ukweli mkuu hawa bado wanaishi mika 47 iliyopita. Eti utasikia siri za serikali. Hivi siri zinaweza kuhifadhiwa vipi na watu wanaolipwa mshahara? Wakistaafu si wanaondoka na kuwaachia wengine sasa hapo siri iko wapi? Hivi JWTZ hawajui askari wanaishi mitaani na ni wanajamii kama raia wengine hivyo kushea habari za jeshi hakuzuiliki?
 
aaaa kumbe mambo ya likizo...nilidhani ile ya masuala ya ngono..Hiyo vipi wamekubali au wameichunia?
 

Tulia wewe mmeyataka wenyewe, na kawaambie hao vigamba wenzio walioko huko jeiwii, waambie hilo ni la wananchi na wananchi wenyewe ndo sisi, tumejaa JF kibao!
 
Mataifa makubwa kama Marekani ndo yanapenda, mpaka yana hack mitandao ya nchi zingine, wao wanataka kuzuia.

Watu wamesifu kumbe hayana shukrani! Bora mimi siyaamini. Yanafikiri vita ikianza yatakuwa peke yao.

Wananchi tukisaliti tunawaambia tu opponents, piga Lugalo kuna rada. Piga Mbagala na G' mboto kuna mabomu. Mapuuzi kweli
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…