Taarifa ya JWTZ kwa Umma

Taarifa ya JWTZ kwa Umma

Status
Not open for further replies.
Kete ya mwisho kabla ya CCM kufa ni jeshi. Mi nilijua itakuwa 2015 kwa amri ya mwanajeshi Kikwete, sasa naona itawahi
 
Huu nao ni upotoshaji wana jamvi, JWTZ walitoa taarifa kukanusha kile kilichosemwa kuhusu likizo za dharura,

Lakin mleta mada anakuja kusema JWTZ latangaza vita naJF, huu ni upotoshaji mkubwa sana, na usipoangalia mleta mada hiyo IP yako wataitumia wakukamate wewe unaepotosha umma, eti VITA KALI JWTZ Vs
JF.

Kwa akili yako JWTZ linaweza tanganza vita na JF? acheni upotoshaji watanzania.
 
Kuna masuala yanayostahili kutumia nguvu za mwili na mengine yakihitaji akili na busara kbila kulazimika kutumia nguvu!
Nadhani hili somo kwa wanajeshi wetu wamefundishwa ndivyo sivyo,penye kuhitaji akili wanatumia nguvu na penye kuhitaji nguvu wanatumia akili!

Ifikie mahali wajue hizi si zile zama za The King's African Rifles,ambapo jeshi lilikuwa linaendeshwa kwa code za kikoloni,sasa hivi watu wana uelewa mpana wa mambo! JWTZ they have to know that navigation is not a science but skills,there is no need of making skills harder by putting it in problems!
Umewapa ukweli mkuu hawa bado wanaishi mika 47 iliyopita. Eti utasikia siri za serikali. Hivi siri zinaweza kuhifadhiwa vipi na watu wanaolipwa mshahara? Wakistaafu si wanaondoka na kuwaachia wengine sasa hapo siri iko wapi? Hivi JWTZ hawajui askari wanaishi mitaani na ni wanajamii kama raia wengine hivyo kushea habari za jeshi hakuzuiliki?
 
aaaa kumbe mambo ya likizo...nilidhani ile ya masuala ya ngono..Hiyo vipi wamekubali au wameichunia?
 
Huu nao ni upotoshaji wana jamvi, JWTZ walitoa taarifa kukanusha kile kilichosemwa kuhusu likizo za dharura, Lakin mleta mada anakuja kusema JWTZ latangaza vita naJF, huu ni upotoshaji mkubwa sana, na usipoangalia mleta hyo IP yako wataitumia wakukamate wewe unapotosha umma, eti VITA KALI JWTZ Vs
JF.Kwa akili yako JWTZ linaweza tanganza vita na JF? acheni upotoshaji watanzania.

Tulia wewe mmeyataka wenyewe, na kawaambie hao vigamba wenzio walioko huko jeiwii, waambie hilo ni la wananchi na wananchi wenyewe ndo sisi, tumejaa JF kibao!
 
Mataifa makubwa kama Marekani ndo yanapenda, mpaka yana hack mitandao ya nchi zingine, wao wanataka kuzuia.

Watu wamesifu kumbe hayana shukrani! Bora mimi siyaamini. Yanafikiri vita ikianza yatakuwa peke yao.

Wananchi tukisaliti tunawaambia tu opponents, piga Lugalo kuna rada. Piga Mbagala na G' mboto kuna mabomu. Mapuuzi kweli
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom