au ,Kisalawe fedalation cup!Kiluvya Football Club hiiiiiii.
PEGE for lifeSerikali imetangaza kuanza kwa Tahasusi (Combination) mpya tano kwa ajili ya Wanafunzi watakaoingia Kidato cha Tano mwaka 2021 ili kuondoa changamoto ya ukosefu wa Wataalamu Nchini.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Seleman Jafo amesema Tahasusi hizo ni Fizikia, Hesabu na Kompyuta (PMC), Kiswahili, French na Chinese (KFC), Kiswahili, English na Chinese (KEC), Physical Education, Biology na Fine Art (PEBFA) na Physical Education, Geography, Economics (PEGE).
Jafo amesema Tahasusi ya PMC itatolewa katika Shule ya Sekondari ya Dodoma ambayo itakuwa maalumu kwa Wasichana ambapo kwa Wavulana itakuwa Sekondari ya Wavulana ya Iyunga.
Tahasusi ya KFC na KEC itatolewa katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Morogoro na ya Wavulana Usagara wakati PEBFA na PEGE itatolewa Sekondari ya Wasichana Makambako, Sekondari ya Wavulana Kibiti na Sekondari ya Mpwapwa.
The Fine Arts are an integral part of education at Concord Elementary School. The primary goal is to foster the personal growth of our students in the areas of Visual Art and Music. Instruction in Visual Arts and Music provides developmentally appropriate methods of exploring, creating and learning. Students learn and develop self-expression, creativity, aesthetic awareness, teamwork and self-discipline.What is physical education and Fine art ?
Natafuta uhusiano wa huu mchepua Physical Education, Fine Art na Biology.. hata sielewi yaniWhat is physical education and Fine art ?
Kabisa maana watatuharibia elimu yetuJamani mbona mnataka kuzika elimu, acheni uzwazwa rudisheni elimu wizara ya elimu. Hao TAMISEMI waachieni mambo ya kujenga vyoo, stendi, kupiga nyungu na kukimbiza mwenge, seriously!!!
The Fine Arts are an integral part of education at Concord Elementary School. The primary goal is to foster the personal growth of our students in the areas of Visual Art and Music. Instruction in Visual Arts and Music provides developmentally appropriate methods of exploring, creating and learning. Students learn and develop self-expression, creativity, aesthetic awareness, teamwork and self-discipline.
Students are encouraged to participate in the Third and Fourth Grade Junior Chorus, Fourth Grade Art Club and Fourth Grade Beginning Band outside of their regular Art and Music classes. These students will learn and expand their knowledge of Visual and Performing Arts skillfully and artistically.
Definition of physical education
: instruction in the development and care of the body ranging from simple calisthenic exercises to a course of study providing training in hygiene, gymnastics, and the performance and management of athletic games
Tulipe muda hili suala nadhani Ndalichako atatuelezea soonNatafuta uhusiano wa huu mchepua Physical Education, Fine Art na Biology.. hata sielewi yani
Hapo ndipo wanapofeliUhusiano wa hayo masomo sasa na unamjenga vipi mtoto kuwa nani
Yaleyale ya makonda na wageni wa kitaifa, anakuwa wa kwanza kutoa taarifa kisa wanafikia kwenye mkoa wakeJaffo anaongea kama Nani? Kazi ya waziri wa elimu ni ipi?
kwenye viwanja vya ndege unakuta lugha wanayotumia kuhabarisha wasafiri ni kiswahili, kiinglish na kichina, siku 1 nikaanza kumtafta mchina, hakuna hata mmoja nikajiuliza hawa watu wana maana gani? yawezekana ni shinikizo toka beberu la china.Kichina kweli ?
Tuambie kwanini umeita huo ni uozo. Ubaya uko wapi? Tupe Ilmu sheikhHii nchi ina mambo ya kijinga sana...what is this...
Huyu waziri ni mtu wa ajabu sana..apeleke watoto wake wakasome hayo mauozo...
Uongo, Chinese ni watu na lugha wanayozungumza zaidi huku ni MandarinNdio
Kwa mseven kila mwanafunzi anakombi yake, ni vurugu tupuYale yale ya MEG/D mara PEM /Ent enz zile kwa mseveni
Mama hana hata mwezi, tayari tushaletewa na KFC mashuleni
[emoji4]
He meant Mandarin I hope, yaani hilo kosa kubwa sana la kiufundi wanachotakiwa wizara ya Elimu kukirekebisha kabla hatujachekwa na Kenyans n the rest of the world...Chinese ni lugha?
Sure mie nilipewaga HEG/ D mzee heb itafasir kiref chakeKwa mseven kila mwanafunzi anakombi yake, ni vurugu tupu