Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Bado kuna historyHii hapana jamani.. pls no..
Jamani jamani. Watoto wetu wanaharibiwa future hivi hiv..
Compyuta advance ni ya nini si iwe kama GS tu..
Pls pls noo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado kuna historyHii hapana jamani.. pls no..
Jamani jamani. Watoto wetu wanaharibiwa future hivi hiv..
Compyuta advance ni ya nini si iwe kama GS tu..
Pls pls noo
Siasa mbaya sanaLeteni kombi mpya Ila ripoti yenu ya ATCL tunayo
Halafu baada ya muda fulani, waje WAITWE VILAZA KAMA WALE WALIOCHUKULIWA UDOM, na wakaondoshwa kwa kufurushwa..Serikali imetangaza kuanza kwa Tahasusi (Combination) mpya tano kwa ajili ya Wanafunzi watakaoingia Kidato cha Tano mwaka 2021 ili kuondoa changamoto ya ukosefu wa Wataalamu Nchini.
![]()
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Seleman Jafo amesema Tahasusi hizo ni Fizikia, Hesabu na Kompyuta (PMC), Kiswahili, French na Chinese (KFC), Kiswahili, English na Chinese (KEC), Physical Education, Biology na Fine Art (PEBFA) na Physical Education, Geography, Economics (PEGE).
Jafo amesema Tahasusi ya PMC itatolewa katika Shule ya Sekondari ya Dodoma ambayo itakuwa maalumu kwa Wasichana ambapo kwa Wavulana itakuwa Sekondari ya Wavulana ya Iyunga.
Tahasusi ya KFC na KEC itatolewa katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Morogoro na ya Wavulana Usagara wakati PEBFA na PEGE itatolewa Sekondari ya Wasichana Makambako, Sekondari ya Wavulana Kibiti na Sekondari ya Mpwapwa.
![]()
Akili za jafo anazijua mwenyeweHalafu baada ya muda fulani, waje WAITWE VILAZA KAMA WALE WALIOCHUKULIWA UDOM, na wakaondoshwa kwa kufurushwa..
Ccm Wahuni Wanamvua Nguo Hayati. Report Imesomwa Kama Vile Hawamjui JiweLeteni kombi mpya Ila ripoti yenu ya ATCL tunayo
Unajua PEGE??weweMama hana hata mwezi, tayari tushaletewa na KFC mashuleni
[emoji4]
YOTE KAYATAKA MKALIMANI.Serikali imetangaza kuanza kwa Tahasusi (Combination) mpya tano kwa ajili ya Wanafunzi watakaoingia Kidato cha Tano mwaka 2021 ili kuondoa changamoto ya ukosefu wa Wataalamu Nchini.
![]()
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Seleman Jafo amesema Tahasusi hizo ni Fizikia, Hesabu na Kompyuta (PMC), Kiswahili, French na Chinese (KFC), Kiswahili, English na Chinese (KEC), Physical Education, Biology na Fine Art (PEBFA) na Physical Education, Geography, Economics (PEGE).
Jafo amesema Tahasusi ya PMC itatolewa katika Shule ya Sekondari ya Dodoma ambayo itakuwa maalumu kwa Wasichana ambapo kwa Wavulana itakuwa Sekondari ya Wavulana ya Iyunga.
Tahasusi ya KFC na KEC itatolewa katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Morogoro na ya Wavulana Usagara wakati PEBFA na PEGE itatolewa Sekondari ya Wasichana Makambako, Sekondari ya Wavulana Kibiti na Sekondari ya Mpwapwa.
![]()
MatagaHii nchi bhana!
Sasa Jaffo ni waziri wa elimu au wenge bado halijamtoka?
KujipendekezaJaffo anaongea kama Nani? Kazi ya waziri wa elimu ni ipi?
MatagaWhat is physical education and Fine art ?
Combi ya Manara hiyoWhat is physical education and Fine art ?
TFF maana yake nini??Kiluvya Football Club hiiiiiii.
Hataki kusaidiwa pamoja na kushindwaJafo anajichanganyia masomo tu kama anakoroga nyungu.
siasa mbaya Sana sio kidogo