Uchaguzi 2020 Taarifa ya kujitoa kwa mgombea Ubunge jimbo la Ulyankulu kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Taarifa ya kujitoa kwa mgombea Ubunge jimbo la Ulyankulu kupitia CHADEMA

Kusema kweli kuna watu wanauumiza sana upinzani. Labda tufocuss na urais na wabunge walio waaminifu. Siku upinzani ukichukua nchi wasaliti wote wasiruhusiwe kuingia kwenye chama.
Hiyo siku itakuwa lini🤔? 😂😂😂
 
Mbowe ni kibaraka wa serikali, utayajua haya mbeleni huko.
Nami nimeota leo aisee. Ila alikuja kugundulika kisha akatimuliwa mbaya chama kikashikwa na wengine. Chadema haitokufa ng'00
 
Haya mambo ya kujitoa wagombea,Kuenguliwa wagombea,kuunga mkono juhudi toka yameanza hayajalisaidia chochote taifa.Sio kwa ccm wanakokimbilia au kunufaika wala kwa wapinzani wanakokimbiwa.Nchi bado iko vile vile na ujinga na umaskini wake.
 
Anguko la wabunge wa vyama vya upinzani.. bunge lifuatalo litakuwa la rangi ya kijani tu kwa 90% kitu ambacho Ni hatari zaidi kwa maendeleo na muongozo wa nchi....
System haiwezi kukubali.

Chadeama tapewa wabunge 10
 
Uimara wa ccm unaupima kwenye nini ?

Mimi tangu nimezaliwa , nimekula hela nyingi za ccm lakini hata sekunde moja sijawahi kukipenda hicho chama.

Upinzani ambao sijawahi kula hata senti moja nimetokea kuwakubali kwa akili moyo na nguvu zangu zote.

Tafakari.
Kwa maana hiyo hata wewe ukipewa nafasi, ukifatwa na CCM utauza tu hiyo nafasi na huo ndio udhaifu wenyewe. Je unayaona hayo yakitokea CCM?
 
Upinzani nchi hii, unanunulika kirahisi sana. Hadi sasa naamini kabisa, mpinzani wa roho na mwili(kwa viongozi wa juu) ni Lissu TU.
Lissu ndo bure kabisa kanunulika kirahisi mno tena kwa kuisaliti nchi yake. Huyo hana uzalendo. Hivi zile kesi za makinikia alizokuwa anajinasibu kwamba tutashitakiwa ziliishia wapi?
 
Lissu ndo bure kabisa kanunulika kirahisi mno tena kwa kuisaliti nchi yake. Huyo hana uzalendo. Hivi zile kesi za makinikia alizokuwa anajinasibu kwamba tutashitakiwa ziliishia wapi?
Teh, mkuu kwa hiyo hata Lisu ni bure kabisa? Anatumika na wazungu kuuza nchi?
 
CCM washafanya yao; CCM ni janga la kitaifa!!

Hawa wagombea wangewekewa utaratibu wa kuapishwa na kusign bind na chama, endapo anajitoa basi anakilipa chama gharama zote.
 
Mwambieni tunamsubiri mtaani tugawane alizopewa
Atatueleza asitufanye wote ni wapumbavu kama yeye
Tutaelewana
 
Back
Top Bottom