Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 7,745
- 11,267
...sasa nimeamini maneno ya mgombea udiwani kwa tiketi ya chadema 2015, anasema alikuwa kwenye msafara wa kumnandi Lowassa kwenye wilaya yake, ilikuwa ikifika zamu ya kupata mlo chadema makao makuu na wapambe wao wanajitenga na kwenda kula kwenye hoteli kubwa huku wakiachwa watu wa Mikoani kujihangaikia.
Anadai ilifikia hatua hata maji ya kunywa tu hawapewi ila ikifika kupanda jukwaani wanakuwa sawa..."ilifika hatua hadi kombati zikawa nzito hata kutamka "peoples power" nikashindwa.." alisema!
Si ajabu huyo mgombea aliona kuuza ng'ombe zake kujinadi na ikshakuwa mbunge mshahara wake unakatwa kukifadhiri chama akaona bora ajitoe!