Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Kwahio?Hakuna watukanaji kama chademaš£
Mama kasoma alama ZA nyakati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahio?Hakuna watukanaji kama chademaš£
Mama kasoma alama ZA nyakati
Wala sio kujitambuaAcha mikwara mbuzi ya mtandaoni...pambaneni na hali yenu...bado kuna wagombea ubunge wenu wengi watajitambua na kugundua uelekeo wa uchaguzi mwaka huu
Sasa wewe elli mshana una uhakika gani kama kanunuliwa? Kuna sababu nyingi za mtu kujitoa;Kumuita Mtu mjinga kisa tu humpendi ni kiwango kikubwa sana cha immaturity
Mmeshamnunua huyo, let's wait and see! Huna haja ya kumtusi mtu, hata ukitumia lugha ya kawaida unaweza kuelezea tu jambo lako hata ni la kipuuzi likaeleweka kwa upuuzi huo!
Hakuna watukanaji kama chademaš£
Mama kasoma alama ZA nyakati
Ikiwa tume ya uchaguzi ni "corrupt" nacho chama tawala ni "corrupt" basi huwezi kutegemea vitu tofauti na hiki. Sasa imebaki suluhisho moja kwa huyu msaliti. Teach him a lesson that he won't forget in his life. Chochote kile ambacho waungwana wakavyoona inafaa, inapaswa kuwa ndiyo fundisho la maana kwake.Tafadhali rejea mada tajwa hapo juu.kumbukumbu namba ya tarehe 29/08/2020 kutoka kwandugu Lazaro Stephano Maige ambaye tarehe 25/08/2020 aliteuliwa kuwa mgombea nafasi ya Ubunge kwa Jimbo la Ulyankulu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akinijulisha kwamba amejitoa kugombea nafasi hiyo.2,Nimepokea barua isiyo na3.
Kufuatia kujitoa kwa Mgombea Ubunge wa jimbo la Ulyankulu ndugu Lazaro Stephano Maige kutokea Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kumwacha mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Ulyankulu Bi. Rehema Juma Migilla kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mgombea pekee.
Kwa mujibu wa kifungu cha 44 cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura 343 inafafanua kuwa, endapo mgombea aliyeteuliwa ni mmoja atahesabika kuwa amechaguliwa na upigaji kura hautafanyika katika jimbo hilo kwa uchaguzi wa mbunge.
4.Kwa barua hii, kutokana na maelezo yaliyopo hapo juu, ninakutaarifu kuwa, umepita bila kupingwa, hivyo mara baada ya Uchaguzi kukamilika utapatiwa hati ya kuchaguliwa.
Na Lissu ni mmojawapo atakayehitimisha kilele hicho cha ujinga sio? Hapo nimeelewa.Narudia tena, hiyo October 28 hakuna uchaguzi, bali ni kilele cha maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Yote yanaweza kuwa majibu sahihi jumlisha na la kwangu....Sasa wewe elli mshana una uhakika gani kama kanunuliwa? Kuna sababu nyingi za mtu kujitoa;
1. Inawezekana kaona maji marefu na hawezi kufurukuta.
2. Inawezekana uungwaji na chama ni mdogo au hakuna uungwaji kabisa.
3. Inawezekana alitegemea sapoti ya fedha kwa ajili ya kampeni ila hola.
4. Inawezekana hakuna hata mawasiliano na watendaji wakuu wa chama.
Hakuna mtu wa kumuhonga bwana.Yote yanaweza kuwa majibu sahihi jumlisha na la kwangu....
Tafadhali rejea mada tajwa hapo juu.kumbukumbu namba ya tarehe 29/08/2020 kutoka kwandugu Lazaro Stephano Maige ambaye tarehe 25/08/2020 aliteuliwa kuwa mgombea nafasi ya Ubunge kwa Jimbo la Ulyankulu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akinijulisha kwamba amejitoa kugombea nafasi hiyo.2,Nimepokea barua isiyo na3.
Kufuatia kujitoa kwa Mgombea Ubunge wa jimbo la Ulyankulu ndugu Lazaro Stephano Maige kutokea Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kumwacha mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Ulyankulu Bi. Rehema Juma Migilla kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mgombea pekee.
Kwa mujibu wa kifungu cha 44 cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura 343 inafafanua kuwa, endapo mgombea aliyeteuliwa ni mmoja atahesabika kuwa amechaguliwa na upigaji kura hautafanyika katika jimbo hilo kwa uchaguzi wa mbunge.
4.Kwa barua hii, kutokana na maelezo yaliyopo hapo juu, ninakutaarifu kuwa, umepita bila kupingwa, hivyo mara baada ya Uchaguzi kukamilika utapatiwa hati ya kuchaguliwa.
SawaHakuna mtu wa kumuhonga bwana.
Unanisikitisha mno! Sikuwahi kujua hili aiseee!Chadema ni kikundi cha watu wasiokua na dira sababu kila anayejiita chadema hana upinzani wa kweli. Wengi wao wamekatiwa mirija ya rushwa, matumizi mabaya ya nafasi zao au mali ya umma, ubinafsi, usaliti, uvunjaji wa maadili na mengine mengi.
Hongera kwa huyu mama ameshtuka mapema akajitoa kwenye kikundi cha wauza nchi na wasaliti
Tafadhali rejea mada tajwa hapo juu.kumbukumbu namba ya tarehe 29/08/2020 kutoka kwandugu Lazaro Stephano Maige ambaye tarehe 25/08/2020 aliteuliwa kuwa mgombea nafasi ya Ubunge kwa Jimbo la Ulyankulu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akinijulisha kwamba amejitoa kugombea nafasi hiyo.2,Nimepokea barua isiyo na3.
Kufuatia kujitoa kwa Mgombea Ubunge wa jimbo la Ulyankulu ndugu Lazaro Stephano Maige kutokea Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kumwacha mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Ulyankulu Bi. Rehema Juma Migilla kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mgombea pekee.
Kwa mujibu wa kifungu cha 44 cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura 343 inafafanua kuwa, endapo mgombea aliyeteuliwa ni mmoja atahesabika kuwa amechaguliwa na upigaji kura hautafanyika katika jimbo hilo kwa uchaguzi wa mbunge.
4.Kwa barua hii, kutokana na maelezo yaliyopo hapo juu, ninakutaarifu kuwa, umepita bila kupingwa, hivyo mara baada ya Uchaguzi kukamilika utapatiwa hati ya kuchaguliwa.
Na Lissu ni mmojawapo atakayehitimisha kilele hicho cha ujinga sio? Hapo nimeelewa.
Mie nakusikitikia wewe zaidi... wewe huoni wapinzani hawana dira ndio maana yote haya yanatokea?Unanisikitisha mno! Sikuwahi kujua hili aiseee!
Nimeandika nikafuta. SawaMie nakusikitikia wewe zaidi... wewe huoni wapinzani hawana dira ndio maana yote haya yanatokea?
Ila tuvumiliane tuu na kuombeana uzima, kuna siku tutaelewana hapahapa jamiiforum
Lissu ni msaliti tunaweka Kumbukumbu sawa sio mpinzaniUpinzani nchi hii, unanunulika kirahisi sana. Hadi sasa naamini kabisa, mpinzani wa roho na mwili(kwa viongozi wa juu) ni Lissu TU.
kamanda unaanzaje kutishiwa?Wala sio kujitambua
ni rushwa, vitisho ndiyo vinatumika hapo hakuna cha ccm kukubalika
Swala sio ukamanda suala ni kuacha kuwatisha watu, waacheni washiriki uchaguzi kama ni kushinda washindie kwenye box la kurakamanda unaanzaje kutishiwa?
Upinzani nchi hii, unanunulika kirahisi sana. Hadi sasa naamini kabisa, mpinzani wa roho na mwili(kwa viongozi wa juu) ni Lissu TU.
Uimara wa ccm unaupima kwenye nini ?Upinzani bongo una safari ndefu sana CCM ni chama imara sana