Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Mbaya zaidi kaja na beberu wake anaemsaport.Anakuja na ujuaji mwingi na kuona nchi haina watu wenye akili zaidi yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbaya zaidi kaja na beberu wake anaemsaport.Anakuja na ujuaji mwingi na kuona nchi haina watu wenye akili zaidi yake
Ni ushenzi wa ccm ndio tatizo usilaumu chama.Sasa hapo mna chama kweli?
Bado hamjasemaAmepokea bei gani huyo mtumwa?
Maana tunaona biashara ya ununuzi wa binadamu imekuja kwa sura nyingine.
Ccm inatumia vyema ile trillion 1.5 yetu iliyoiba kutoka hazina
Mzee hivi Mbowe akijiuza leo kwa ccm aibu itakuwa kwa ccm au chadema?Hii kitu inawaharibia Sana CCM maana wabunge wanaoamika na wananchi wanajulikana na watu wanachukia kuona pesa zinatumika vibaya kweli anayefanya huo mchezo akidhani anaua upinzani kumbe ndo wanazidi kuharibu.
Ni ushenzi wa chama chenu kuweka watu wanaojiuza,Ni ushenzi wa ccm ndio tatizo usilaumu chama.
Amepokea bei gani huyo mtumwa?
Maana tunaona biashara ya ununuzi wa binadamu imekuja kwa sura nyingine.
Ccm inatumia vyema ile trillion 1.5 yetu iliyoiba kutoka hazina
Kijana umekata tamaa
Kumuita Mtu mjinga kisa tu humpendi ni kiwango kikubwa sana cha immaturity
Mmeshamnunua huyo, let's wait and see! Huna haja ya kumtusi mtu, hata ukitumia lugha ya kawaida unaweza kuelezea tu jambo lako hata ni la kipuuzi likaeleweka kwa upuuzi huo!
Tulia dawa iingieAmepokea bei gani huyo mtumwa?
Maana tunaona biashara ya ununuzi wa binadamu imekuja kwa sura nyingine.
Ccm inatumia vyema ile trillion 1.5 yetu iliyoiba kutoka hazina
Huyo alobaki ndio Kidume naona Mwanamke kesha hongwaTafadhali rejea mada tajwa hapo juu.kumbukumbu namba ya tarehe 29/08/2020 kutoka kwandugu Lazaro Stephano Maige ambaye tarehe 25/08/2020 aliteuliwa kuwa mgombea nafasi ya Ubunge kwa Jimbo la Ulyankulu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akinijulisha kwamba amejitoa kugombea nafasi hiyo.2,Nimepokea barua isiyo na3.
Kufuatia kujitoa kwa Mgombea Ubunge wa jimbo la Ulyankulu ndugu Lazaro Stephano Maige kutokea Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kumwacha mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Ulyankulu Bi. Rehema Juma Migilla kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mgombea pekee.
Kwa mujibu wa kifungu cha 44 cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura 343 inafafanua kuwa, endapo mgombea aliyeteuliwa ni mmoja atahesabika kuwa amechaguliwa na upigaji kura hautafanyika katika jimbo hilo kwa uchaguzi wa mbunge.
4.Kwa barua hii, kutokana na maelezo yaliyopo hapo juu, ninakutaarifu kuwa, umepita bila kupingwa, hivyo mara baada ya Uchaguzi kukamilika utapatiwa hati ya kuchaguliwa.
Huyu mjinga mbona ni basha wako?Halafu kuna mjinga fulani kisa amekaa Ulaya Uchochoroni, eti anafanya kampeni kuwa Rais wa Tanzania. My foot!!
Kipi kimenikatisha tamaa hapo?
Mmeuza jimbo
Kweli chadema watumwa, kila siku kujiuza tuu. Lini mtaondoka utumwani?Amepokea bei gani huyo mtumwa?
Maana tunaona biashara ya ununuzi wa binadamu imekuja kwa sura nyingine.
Ccm inatumia vyema ile trillion 1.5 yetu iliyoiba kutoka hazina
"When the stomach is empty the mind will swallow anything " hii siyo kwa upinzani wa Tanzania ila ni asili ya binadamu.Upinzani nchi hii, unanunulika kirahisi sana. Hadi sasa naamini kabisa, mpinzani wa roho na mwili(kwa viongozi wa juu) ni Lissu TU.