Uchaguzi 2020 Taarifa ya kujitoa kwa mgombea Ubunge jimbo la Ulyankulu kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Taarifa ya kujitoa kwa mgombea Ubunge jimbo la Ulyankulu kupitia CHADEMA

Ni haki yake kuunga juhudi.
Yeye kaanzisha. Hadi kufikia 28 Oktober karibu wagombea wote wa ubunge na udiwani watafuata. Watabaki Lema, Heche na Mdee peke yao ambao na hawatachomoa!
 
Acha hao washamba wajitoe..kura za uraisi kwa Lissu..akiingia Ikulu anabadirisha katiba..hata MiCCM ikiwa mingi bungeni watamfanya mini..
 
Hii kitu inawaharibia Sana CCM maana wabunge wanaoamika na wananchi wanajulikana na watu wanachukia kuona pesa zinatumika vibaya kweli anayefanya huo mchezo akidhani anaua upinzani kumbe ndo wanazidi kuharibu.
 
CCM anaingiaje hapa?pambaneni na hali yenu
 
Kusema kweli kuna watu wanauumiza sana upinzani. Labda tufocuss na urais na wabunge walio waaminifu. Siku upinzani ukichukua nchi wasaliti wote wasiruhusiwe kuingia kwenye chama.
 
Haishangazi! Jimbo lenyewe ni ndanindani huko ya wilaya ya Kaliua, Tabora. Chadema haijawahi kushinda ubunge mkoa wa Tabora. Hii ni ngome ya CCM na CUF (ACT). Nashangaa ACT haikusimamisha mgombea huko! Au ni mmoja kati ya walioenguliwa na rufaa hazijatolewa maamuzi bado?
 
Imagine sasa hivi JPM anahangaika kujinadi mpaka anaongea kisukuma ili apate kura kwa Mambo Kama haya mtu anashindwa kupambania wananchi wa Jimbo lake anakwenda kulala Kama ameshinda sasa hapo chama kinazidi kuchukiwa sana.
 
Back
Top Bottom