Poleni sana. Vipi Ndugu yenu alikuwa na matatizo ya akili ama kuonesha dalili hizo hivi siku za karibuni..
Huyu jamaa atakuwa jimbo la Cabo Delgado Msumbiji na wenzake wa ISIS.
Walimchukua katika mazingira yapi,kukamatwa,kutekwa au kuondoka naye kwa hiyari?Alikuwa mzima. Inavyosemekana na mtoa taarifa kuna watu walikuja kumchukua katika eneo lake la kazi (Petrol Station), tangu hapo hakuonekana tena
Alikuwa mzima. Inavyosemekana na mtoa taarifa kuna watu walikuja kumchukua katika eneo lake la kazi (Petrol Station), tangu hapo hakuonekana tena
Au Somalia.Huyu jamaa atakuwa jimbo la Cabo Delgado Msumbiji na wenzake wa ISIS.
Alichukuliwa Kwa hiyariWalimchukua katika mazingira yapi,kukamatwa,kutekwa au kuondoka naye kwa hiyari?
Yote kwa yote binaadam tuna mambo mengi sana sirini,unawezakuta jamaa yuko zake polisi huko wanayajenga kwa msala fulani mzito nyinyi hamjui.
Duh,kila la kheri jaman.Alichukuliwa Kwa hiyari
Kama scenario yako ya kwamba yupo anahojiwa ipo sahihi, huyu mtu hata akirudi atarudi na shida mbalimbali.Poleni sana. Kama ndio hivyo atakuwa anahojiwa mahali. Huwenda serikali ilipata fununu ndugu yenu alikuwa akishirikiana na watu waovu kwa namna moja ama nyingine..
Kuweni na subila kama hatokuwa na kosa atarudi tu bila shida yoyote..
All u need is to relax dude if u don't have sthing 2 sayHuyu jamaa atakuwa jimbo la Cabo Delgado Msumbiji na wenzake wa ISIS.
"maarufu kama Osama"Una uhakika gani kama ni IsIs, kwa hio pia na bensanane au wanaopotea bongo wanakua wamejiunga na Is? All u need is to relax dude if u don't have sthing 2 say
"maarufu kama Osama"
Wamarekani washatujaza hofu mkuu, tukiona Osama kwenye orodha ya abiria wa basi tunahairisha safari!Osama ni jina la kawaida kama majina mengine duniani, jina lisikushughulishe