Taarifa ya kupotea kwa ndugu Fakhru Issa Abeid (maarufu Osama)

Taarifa ya kupotea kwa ndugu Fakhru Issa Abeid (maarufu Osama)

sharafu,

Katika hali ya kawaida haiwezekani mtu apotee tu mbaya zaidi katika eneo lake la kazi. Wafanyakazi wenzio wanasemaje?, Taarifa za kieletronic kama alikuwa anatumia simu zikoje? For the past few day alikuwa katika hali gani? kuna jambo haliko sawa hapa.
 
Alikuwa kazini wakaja watu kirafiki kabisa na kwa hiyari wakaondoka nae

Halafu mnataka tuumize akili wakati tinafahamu wanaoenda somalia huwa hawaagi ndugu.
 
Alikuwa kazini wakaja watu kirafiki kabisa na kwa hiyari wakaondoka nae


Halafu mnataka tuumize akili wakati tinafahamu wanaoenda somalia huwa hawaagi ndugu

Inavyosemekana walimwambia kuwa wanamuhitaji kwa ajili ya mazungumzo naye . Pia msemaji alisema kuwa wakati anachukuliwa aliondoka na funguo za ofisi, lakini badae zikarudishwa na mmoja wa waliomchukua. Upo hapo!!
 
Walimchukua katika mazingira yapi,kukamatwa,kutekwa au kuondoka naye kwa hiyari??

Yote kwa yote binaadam tuna mambo mengi sana sirini,unawezakuta jamaa yuko zake polisi huko wanayajenga kwa msala fulani mzito nyinyi hamjui.
Wasiojulikana, wasimpeleke tu Guantanamo
 
Inavyosemekana walimwambia kuwa wanamuhitaji kwa ajili ya mazungumzo naye . Pia msemaji alisema kuwa wakati anachukuliwa aliondoka na funguo za ofisi, lakini badae zikarudishwa na mmoja wa waliomchukua. Upo hapo!!
Hakuna ccvtv pale ofisini kwake
 
Wasiojulikana,wasimpeleke tu Guantanamo
Inategemea na kachafua hewa kiasi gani.

Kipindi cha kibiti nilijuzwa mambo mengi sana na mchizi wangu,mengine yakanikatisha tamaa sana kuhusu viumbe binaadam.

NOTE:simaanishi mhanga huyu anahusika na hayo niliyoyaandika.
 
Sina Uhakika
Kwa ulimwengu huu wa wasiojulikana ukiwa mwanasiasa au unamiliki kuanzia mtaji wa milioni 50 kwenda juu CCTV ni muhimu sana,ilimuokoa kabendera angemuwahi mama yake.Binadamu sio watu.
 
Kumbe mnawafahamu waliomchukua?

Aliporudisha funguo hamkumuuliza ndugu yenu yuko wapi?

Inawezekana wafanyakazi wenzie walichukulia simple. Make msemaji alisema jamaa baada ya kurudisha funguo aliwaambia wafanyakazi wenzie kuwa mwenzenu "kaenda nyumbani kwake kulala kasema anajiskia vibaya",

Lakini wafanyakazi inavyosemekana waliochukilia kama suala la kawaida baada ya kuletewa funguo
 
Mmeuliza vituo vya polisi?
Inawezekana wafanyakazi wenzie walichukulia simple. Make msemaji alisema jamaa baada ya kurudisha funguo aliwaambia wafanyakazi wenzie kuwa mwenzenu "kaenda nyumbani kwake kulala kasema anajiskia vibaya", Lakini wafanyakazi inavyosemekana waliochukilia kama suala la kawaida baada ya kuletewa funguo
 
Dah..kajiunga tarehe moja, Nduguye kapotea tarehe nne... kila la kheri mkuu.

Sijasema mtu anajitafuta. Maana hata ID inahusika na ndevu kiaina...kama Osama.
 
Back
Top Bottom