Taarifa ya kupotea kwa ndugu Fakhru Issa Abeid (maarufu Osama)

Nikweli wewe ndie uliye tekwa...??
Na kwanini unahisi walikuteka...??
Na kwanini waliamua kukuachia..??
Walikuambia nini kabla na baada ya kutekwa...??
Walikuteka kwa muda wa siku ngapi..??
Walio kuteka ni akina nani/unahisi ni watu gani...??
Huwaga hawasemi hayo, kama ameachiliwa huru tumshukuru Mungu basi!
 
Nashukuru sana kwa wote mlio guswa na tatizo langu kiujumla siku nilizo Ishi katika tabu hiyo sikujua usiku wala mchana niliishi katika wakati mgumu watesi wangu walikuwa ni wema sana hawakuwahi kunijeruhi wala kupiga popote juu ya mwili wangu'

Maisha ya kutekwa kiukweli ni Magumu sana' lakini tunahitaji uvumilivu na utulivu mkubwa katika wakati huo unapo kutana nao'

Katika nchi zetu hizi nina Imani hakuna alie salama endapo utaamka salama na kurejea salama basi shukuru sana Mungu huenda ukajiona mjanja kwa leo ila kumbuka Kesho yako huwezi Jua itakuwa ngumu kiasi gani'

Nikweli katika kambi za maficho kuna wanaopigwa na kuvunjwa vunjwa viungo vyao kuna ambao wanapoteza maisha kwa kukosa matibabu
Lakini yote haya ni matunda ya UHURU
Kama ni wewe bwana fakh umerudi, tunamshukuru Mungu kwa hilo!
 
Pole Sana.walikuficha wapi?

shekh Assalam alykum
 
Back
Top Bottom