Dah..kajiunga tarehe moja, Nduguye kapotea tarehe nne... kila la kheri mkuu.
Sijasema mtu anajitafuta. Maana hata ID inahusika na ndevu kiaina...kama Osama.
Poleni Sana katika utawala huu wa JIWE ,Kashaenda Kuungana na Wenzake wale 300+ wa kibiti,Yupo Mawinguni Kwa Sasa!!
Badala utoe mchango unahangaika na terehe za kujiunga, we uliyejiunga Zamani umenizidi nini labda!!!, au tangu ujiunge kila ukipost unapewa posho na Wamiliki wa JF, Kwamba posho yako ya JF ishakuwa kiwango kikubwa mi ndo naanza au !!!!?
Kwa nini anaitwa Osama?
kwa nini nickname ya Osama na sio nickname nyingine?Alijulikana hivo kama jina maarufu huko alikokuwa anaishi (nickname)
Kunywa maji tuliza munkari sheikh..
Sasa twende kwenye mchango wangu... nduguyo alichukuliwa muda gani? waliomchukua walikuwa wangapi? waliondoka nae kwa kutumia usafiri gani? alikuwa anaishi hapo hapo Vigwaza au Dar? ana familia(Mke na watoto)? iko wapi?..na je ana muda gani hapo kazini? mahusiano yake na wafanyakazi wake hapo kazini yalikuwaje wiki moja kabla ya kupotea kwake?.. alikuwa ana nafasi yoyote ya uongozi/usimamizi hapo ofisini?
kwa nini nickname ya Osama na sio nickname nyingine?
Sijapanik ndugu ,kitambo sana nimetulizana kama maji ya kisima!!, I was just challenging u. Aidha, maswali yako ulouliza ni mazur , ngawa siwezi yajibu sasa hivi. Ntayajibu kadri ntakavyopata majibu yake.
kwa hiyo yeye jina LA Osama alilikubaliHayo majina watu huwa wanapenda kuwabandika wale wenye ndevu nyingi, siyo yeye tu (na wengine wakiona una ndevu nyingi wanakuita Alkaida mpaka linakushika na linazoeleka ikiwa utalikubali ), uitanaji wa majina ya Osama na Alkaida ulianza tangu Osama Bin Laden alipoilipua Pentagon
kwa hiyo yeye jina LA Osama alilikubali
Nimeuliza kama vituo vya polisi mmeuliza sijajibiwa.
hv kwa hali ya kawaida wanakuja watu kazini kwangu, siwajui hawanijui wananiambia twende tukaongee, na mimi nawafuata tu hivi hivi? Mytake wanajuana na alipopelekwa anapajua, sema tatizo linabaki kwa nyinyi ndugu na jamaa ambao hakuwashilikisha