Taarifa ya kupotea kwa ndugu Fakhru Issa Abeid (maarufu Osama)

Nikweli wewe ndie uliye tekwa...??
Na kwanini unahisi walikuteka...??
Na kwanini waliamua kukuachia..??
Walikuambia nini kabla na baada ya kutekwa...??
Walikuteka kwa muda wa siku ngapi..??
Walio kuteka ni akina nani/unahisi ni watu gani...??
Huwaga hawasemi hayo, kama ameachiliwa huru tumshukuru Mungu basi!
 
Kama ni wewe bwana fakh umerudi, tunamshukuru Mungu kwa hilo!
 
Mkuu...hapo nimekwenda chaka...

wamemlaza kivipi?
Nimeongea na Kamanda Siri muda mfupi uliopita kasema wameishamlaza! Utamsikia Zittoanalalamika na kutetea hao manyang'au!
 
Pole Sana.walikuficha wapi?
 
shekh Assalam alykum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…