Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 1,710
- 8,690
Mheshimiwa ukizingatia mamlaka ulizonazo nakuomba uliangalie swala ya wastaafu wazee wa kule tabora Kaliua ambao mpka sasa hawajalipwa pesa zao wanazungushwa tu. Kama itakupendeza naweza kutoa details zaidi privately. AhsanteMheshiwa, hatua hii ni njema na inastahili kabisa kuchukuliwa kwa nia ya kulinda utaifa wetu. Nipende tu kutoa wito, isiishie
YAANI WASIOJULIKANA WANAHITAJIKA HUKU NA SIO HUKO WALIKO..!!!!
Mbunge wa zamani na waziri ndo anafundisha watoto kulawitianaJe huyu Athumani ndugu yake waziri mwandamizi zamani serikalini Professor Juma Kapuya?
Ingia google andika Athumani Kapuya Foundation utaona kuna video ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe Paul Matiko Chacha akichambua yaliyojiri. Nimetoa kwa ufupi tu kuwa, tunaungana na Mkuu wa Mkoa kwenye taarifa yake na hatua alizochukua na sisi tunaendelea mbele kitaifa kupitia bodi ya usajili.Hamjaeleza mnachunguza tuhuma zipi?
Watu wenye kutaka kufanya jambo tofauti mbona Wana mbinu nyingi na wengi wanadhibitiwa na wengine wanapenya lakini wanashikwa kama hivi. Mbona hata vibaka wanadhibitiwa na Polisi kata wengine wanapenya? Magonjwa yanadhibitiwa wengine wanaugua.Kwanini mnasubiri mpaka tatizo liibuliwe hakuna mkakati wa luzuia kabla ya kutokea?
Ahsante kwa maoni yamepokelewa ππ½Mheshimiwa ukizingatia mamlaka ulizonazo nakuomba uliangalie swala ya wastaafu wazee wa kule tabora Kaliua ambao mpka sasa hawajalipwa pesa zao wanazungushwa tu. Kama itakupendeza naweza kutoa details zaidi privately. Ahsante
Ahsante Sana kwa angalizoAisee hatari sana madame,
Haya Maswala yafuatiliwe kwa umakini maana kuna watu hua wanaficha taarifa na ushahidi kwa Rushwa na vitisho,
Maana kupitia hizo NGOs zao wanapata mafungu kutoka kwa wafadhili Washenzi kuendesha harakati za hovyo wakijificha kwenye kivuli cha Wahisani!
Kama Taifa tuwe makini!
Tuhuma za kueneza ushoga kwa njia za vitabuHamjaeleza mnachunguza tuhuma zipi?
Ahsante kwa maoni nimekusomaMheshiwa, hatua hii ni njema na inastahili kabisa kuchukuliwa kwa nia ya kulinda utaifa wetu. Nipende tu kutoa wito, isiishie kwa hao tu. Kuna wale ambao wameshaathirika na jambo hili. Hao mashoga walioko mitaani, kama wizara mnachukua hatua gani? Yaani imefikia mahala wananchi wanajichukulia sheria mikononi, kwa vile tu wanaona kifanywacho ni aibu kwao na kwa taifa, lakini kama taifa, halichukui hatua stahiki.
Mfikirie yule aliyekatwa masikio huko Zanzibar na kisha kutelekezwa msituni, mfikirie yule askali ambaye alituhumiwa huko Zanzibar etc. Watu hao na wengine ambao kwa namna moja au nyingine wanajulikana, lakini hakuna hatua madhubuti za kuwadhibi. Inawezekana mnachukua hatua kimya kimya, lakini unfortunately matokeo ya hatua hizo hatuyaoni huku SITE. Hebu mfikirie yule Meneja wa Lamada aliyetajwa na akina Mwakyembe na kwmba amepongezwa kwa kuifanya hotel yake kuwa sehemu salama ya mashoga kufikia..!! Serikali imechukua hatua gani..!!??
YAANI WASIOJULIKANA WANAHITAJIKA HUKU NA SIO HUKO WALIKO..!!!!
ππ½ Shukrani, mchango wenu wa mawazo ni muhimu sana..... Maana ndiyo uhalisia ππ½Tupo na wewe Daktari.
Shukrani tupo pamoja mambo ni mengi ila ujumbe unaenda kwao......Kazi nzuri na kwa wakati. Chungulieni na mabazazi wengine muwanyooshe
Well done ndugu waziri and well done RC TaboraWasaalam.
4 Juni, 2024, Dodoma.
________________
Athuman Kapuya Foundation ni shirika lililosajiliwa mwaka 2021 ambapo, kwa kipindi chote limetekeleza matakwa ya