Taarifa ya Kusitisha huduma za Athuman Kapuya Foundation

Taarifa ya Kusitisha huduma za Athuman Kapuya Foundation

Hivi,hao wazungu wanapoleta misaada,huwa wanawalazimisha kuinama "mpewe" au ni akili za baadhi ya wapokea misaada kupenda kuinama na ni tabia zao tu?Uletewe chandarua cha msaada wewe uanze mambo yako ya kupumuliwa kunahusiana vipi sasa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km chiziiii
 
Umempa ukweli,badala ya kuunga mkono,kukataza ushoga,yeye aleta habari za ushoga uliko na kutaja,wanaopinga ushoga kuwa ni mashoga.Nchi za kiarabu,zisikie hivyo hivyo,ukikamatwa ni shoga,kichwa chake ni halali yao .Huko nchi za kiarabu,kama ni shoga,afanye kwa siri sana,serekali wala dini ya kiislamu haijaruhusu,ndio ukaona huko viongozi wa dini ,wanapiga wazi wazi,kwasababu dini hairuhusu huo ujinga.
Nchi zilixoruhusu ushoga huwezi kupinga waziwazi,kama nchi za magharibi(sio nchi zenye kufuata miongozo ya dini).,,
Sasa mbona nchi za kiarabu ndo chimbuko la ushoga na nu sunnah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom