Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
MUFTI ATANGAZA VITA DHIDI YA USHOGA NCHINI "Sisi lazima tuseme | nguvu hatuna, watoto wanaharibika"
View: https://www.youtube.com/watch?v=stNqD8wlFiA&ab_channel=EastAfricaTV
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,Ni tatizo kubwa sana kwetu Afrika.......
Sio lazima ukubaliane na mimi, sikulazimishi asee huo ni msimamo wangu binafsi kama wewe ulivyoamua kusimamia unachoamini, sina haja ya kukupa takwimu yeyote,,,,,.....ila ushoga kwangu kama muafrika ni laana na sio jambo la kuteteaMkuu,
Nitakubaliana na wewe kama utaweka takwimu.
Halafu ninaomba uelewe kapuya foundation ipo ndani ya mipaka ya Tanzania na mada haizungumzii afrika.
Safi sanaWasaalam.
4 Juni, 2024, Dodoma.
________________
Athuman Kapuya Foundation ni shirika lililosajiliwa mwaka 2021 ambapo, kwa kipindi chote limetekeleza matakwa ya kisheria ya uwasilishaji wa taarifa na kulipa ada.
Kwa mujibu wa usajili wao malengo waliyotekeleza na kupelekea hatua kuchukuliwa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe Paul Chacha ni kinyume na Katiba waliyosajili na kinyume na Sheria ya Usajili wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali (Non-Government Organizations) (NGOs) ambayo imeweka bayana utekelezaji wa NGOs unatakiwa kuendana na mila na desturi za Taifa la Tanzania na sio vinginevyo.
Kutokana na upungufu huo, Ofisi ya Msajili kupitia Bodi ya uratibu wa Mashirika hayo tayari imesimamisha utendaji kazi wa shirika hilo kote nchini kupisha uchunguzi na hatua zaidi. Baada ya uchunguzi kukamilika wahusika watachukuliwa hatua zote stahiki kwa mujibu wa sheria.
Nachukua nafasi hii kumpongeza Mhe. Paul Chacha, Mkuu wa Mkoa wa Tabora kwa uratibu mzuri wa Mashirika yanayofanya kazi katika mkoa wake na kwa hatua alizochukua kama mamlaka kamili ya usimamizi wa shughuli za serikali ikiwemo wizara ya maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake na makundi maalumu kupitia sera ya ugatuaji madaraka kwenda Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa. Uratibu huu makini ndiyo umepelekea kuibuliwa kwa madhaifu ya shirika hilo.
Hivyo, natoa wito kwa mamlaka zote za tawala za mikoa na mamlaka za serikali za mitaa kuendelea kuimarisha uratibu na ufuatiliaji na kuchukua hatua stahiki kwenye maeneo yao kwa mujibu wa sheria pale wanapoona kuna kukiukwa kwa sheria husika.
MWISHO.
Pia soma: Vitabu vinavyohamasisha mapenzi ya jinsia moja vyakamatwa Tabora
Umejaribu kuongea kitu tofauti na ulichosema mwanzo.ila ushoga kwangu kama muafrika ni laana na sio jambo la kutetea
Laana tayari ni tatizo na halihitaji takwimu zozote.....we kama kwako sio shida sawa lipokee wewe na uzao wakoUmejaribu kuongea kitu tofauti na ulichosema mwanzo.
Mimi si kusema si Laana nimesema tatizo la ushoga si Tatizo kubwa hata kwa ngazi ya wilaya. Kiasi cha kwamba kama Taifa tunahitaji kulizungumza na kulipa credit kiasi hichi.
Hata mimi sikubaliani na ushoga lakini hilo haliondoi ukweli kwamba Tanzania tuna matatizo makubwa kushinda hili linalozungumziwa.
MH uchunguzi wa Nini tena wakati mhusika ni athumani juma kapuya au ndio Yale Yale ya upembuzi yakunifu utafanyika mama?Wasaalam.
4 Juni, 2024, Dodoma.
________________
Athuman Kapuya Foundation ni shirika lililosajiliwa mwaka 2021 ambapo, kwa kipindi chote limetekeleza matakwa ya kisheria ya uwasilishaji wa taarifa na kulipa ada.
Kwa mujibu wa usajili wao malengo waliyotekeleza na kupelekea hatua kuchukuliwa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe Paul Chacha ni kinyume na Katiba waliyosajili na kinyume na Sheria ya Usajili wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali (Non-Government Organizations) (NGOs) ambayo imeweka bayana utekelezaji wa NGOs unatakiwa kuendana na mila na desturi za Taifa la Tanzania na sio vinginevyo.
Kutokana na upungufu huo, Ofisi ya Msajili kupitia Bodi ya uratibu wa Mashirika hayo tayari imesimamisha utendaji kazi wa shirika hilo kote nchini kupisha uchunguzi na hatua zaidi. Baada ya uchunguzi kukamilika wahusika watachukuliwa hatua zote stahiki kwa mujibu wa sheria.
Nachukua nafasi hii kumpongeza Mhe. Paul Chacha, Mkuu wa Mkoa wa Tabora kwa uratibu mzuri wa Mashirika yanayofanya kazi katika mkoa wake na kwa hatua alizochukua kama mamlaka kamili ya usimamizi wa shughuli za serikali ikiwemo wizara ya maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake na makundi maalumu kupitia sera ya ugatuaji madaraka kwenda Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa. Uratibu huu makini ndiyo umepelekea kuibuliwa kwa madhaifu ya shirika hilo.
Hivyo, natoa wito kwa mamlaka zote za tawala za mikoa na mamlaka za serikali za mitaa kuendelea kuimarisha uratibu na ufuatiliaji na kuchukua hatua stahiki kwenye maeneo yao kwa mujibu wa sheria pale wanapoona kuna kukiukwa kwa sheria husika.
MWISHO.
Pia soma: Vitabu vinavyohamasisha mapenzi ya jinsia moja vyakamatwa Tabora
Nakubali Madame, moja ya mawaziri nnaowakubali sana, nshasema mara kadhaa.Watu wenye kutaka kufanya jambo tofauti mbona Wana mbinu nyingi na wengi wanadhibitiwa na wengine wanapenya lakini wanashikwa kama hivi. Mbona hata vibaka wanadhibitiwa na Polisi kata wengine wanapenya? Magonjwa yanadhibitiwa wengine wanaugua.
Wakiugua wengine wanapewa dawa zilezile mwingine anapona mwingine haponi. Hata kukamatwa Kwa Hawa ni ishara ya mifumo kufanya kazi. Tushirikiane maisha haya ni mapambano mwanzo mwisho....
Abdul S Naumanga imekaaje hii kisheria?
Wakili msomi Abdul,Ni kweli, kwa Tz ni kosa na kifungo chake ni miaka 30 au maisha kabisa 👇.
Atakuwa kachomekewa tuMbunge wa zamani na waziri ndo anafundisha watoto kulawitiana
Kwanini usiangalie kwenye kamusi maana ya jinai kuliko kisumbua watu?Wakili msomi Abdul,
Kosa hilo ni kosa la aina gani?
Ni kosa la jinai au mnaliweka kwa kundi gani?
Na kama ni kosa la jinai, Jinai maana yake nini?
Mbahili,Mbona hawafungii wasanii wenye video za utupu?