amenitukana kwa vile nimekuwa kinyume na thinking yake. Huyu atakuwa wa dini ile ndio wanamunkari wa kutaka kila mmoja afuate anavyotaka, eti imeamriwa.Mkuu huwezi kuwapangia watu namna ya kujibu hoja yako.
Tulia umeweka hoja yako mezani, vumilia ijadiliwe na kila mtu kwa maoni, uelewa, mtazamo na uzoefu wake.
Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake hapa!!!
Mimi siungi mkono ushoga, kama nisivyounga mkono ulevi, lakini anayefanya mwache afanye. HIS BODY, HIS RIGHT!