Ajabu anavyoshabikia hayo mambo ,kanaonekana kanapenda sana wazunguSasa hapo unafiki wake ni nini au na wewe ni shoga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajabu anavyoshabikia hayo mambo ,kanaonekana kanapenda sana wazunguSasa hapo unafiki wake ni nini au na wewe ni shoga?
Umempa ukweli,badala ya kuunga mkono,kukataza ushoga,yeye aleta habari za ushoga uliko na kutaja,wanaopinga ushoga kuwa ni mashoga.Nchi za kiarabu,zisikie hivyo hivyo,ukikamatwa ni shoga,kichwa chake ni halali yao .Huko nchi za kiarabu,kama ni shoga,afanye kwa siri sana,serekali wala dini ya kiislamu haijaruhusu,ndio ukaona huko viongozi wa dini ,wanapiga wazi wazi,kwasababu dini hairuhusu huo ujinga.Ungelitoa ushauri nisingekujibu hivyo mjinga wewe umenitukana kuniita mnafiki na mimi nimekujibu hivyo acha kuunga ushoga wewe lete ushauri sio kuunga ushoga utapenda uitwe shoga?au kam una kaka yako au mdogo ni shoga utafurahia awe shoga?achaujinga wako wa kunitukana Toa ushauri ili watu wakusikilize usije hapa kuharibu Thread yangu umetumwa na wakubwa wako iliuje uniharibie Thread yangu? Ukiona mtu anaunga mkno mashoga basi na yeye pia huenda akawa ni shoga nin wasiwasi na wewe huend ahuo mchezo unao hutaki kusema ukweli wako .
shoga baba yakoSasa hapo unafiki wake ni nini au na wewe ni shoga?
wanafanya kwa usiri, na tabia hii imeletwa na waarabu pwani na kote walikopitia. Popote alipopita mwarabu shoga ni jadi. mafia umeisikia?Umempa ukweli,badala ya kuunga mkono,kukataza ushoga,yeye aleta habari za ushoga uliko na kutaja,wanaopinga ushoga kuwa ni mashoga.Nchi za kiarabu,zisikie hivyo hivyo,ukikamatwa ni shoga,kichwa chake ni halali yao .Huko nchi za kiarabu,kama ni shoga,afanye kwa siri sana,serekali wala dini ya kiislamu haijaruhusu,ndio ukaona huko viongozi wa dini ,wanapiga wazi wazi,kwasababu dini hairuhusu huo ujinga.
Nchi zilixoruhusu ushoga huwezi kupinga waziwazi,kama nchi za magharibi(sio nchi zenye kufuata miongozo ya dini).,,
Wewe kinda wajuzi tu! I can see your arguments!Huwezi kuafford kusoma shule na chuo nilichosoma ,just stick to the point
Endelea tu kushabikia hao wazungu wako
Hao waarabu ndio wanaokutafuna? naona umeamua kuweka ushuhuda wako hapa,wanafanya kwa usiri, na tabia hii imeletwa na waarabu pwani na kote walikopitia. Popote alipopita mwarabu shoga ni jadi. mafia umeisikia?
tatizo lako ni elimu, mbona muarabu huko kwao mambo haya hakuna tumeona qatar alitoa taarifa mapema kwenye kombe la dunia hadi wazungu wakataka kugomea kombe la dunia ,lakini still qatar alibaki na msimamo wake ushoga marufuku qatar na wazungu wakatii amri sasa hao waarabu gani unaowazungumzia wewe?wanafanya kwa usiri, na tabia hii imeletwa na waarabu pwani na kote walikopitia. Popote alipopita mwarabu shoga ni jadi. mafia umeisikia?
Acha kusema tatizo la ushoga silo tatizo kubwa Wazungu wajanja sana wanaleta misaada midogo midogo kw awananchi wana lengo lao walilolificha moyoni wewe unafikiri mzungu atakusaidia kitu bure pasipo na kupata faida toka kwako? Wazungu wanachukizwa sana na watu weusi kuzaliana kw awingi dunia sasa imekuwa na zaidi ya Watu Billioni 7 wanachotaka Wazungu ikifika mwaka 2050 watu wapunguwe kuzaliana ndio lengo lao kutuletea ushoga Wazungu walileta Ukimwi ili tupate kupunguwa wamshindwa sasa wazungu wamekuja na njia mpya y akutumaliza kizazi chetu wanaume wawe mashoga na wanawake wawe ni wasagaji ili tusipate kuzaliana sana kama wanyama wanavyozaliana. PINGA NA PIGA VITA USHOGA NA USAGAJI MAHALI POPOTE PALE ULIPO KABLA ADHABU YA MUNGU HAIJATUFIKIA.Tatizo la ushoga si tatizo kubwa kama linavyoongelewa hapa Tanzania.
Halafu hii si juma kapuya foundation? Juma kapuya na Athumani kapuya si ndugu?
Hivi zile shutuma za kubaka binti mdogo ziliishia wapi miaka ya 2013ziliishia wapi?
Kwa jinsi ninavyowafahamu Watu weusi walivyo wanafiki wakubwa, naamini utapopolewa mawe Sana kwa kueleza Ukweli mchungu kama huu.Acha unafiki, ushoga upo enzi na enzi kwenye jamii zetu hasa za pwani na dini ile, people are doing it secretly. wazungu wamekuwa wakweli/si wanafiki wameweka hadharani, lakini haya mambo yanafanyika hasa kwenye influence ya waarabu.
Umesikia ya Mafia? watoto 15 wamelawitiwa na mambo kama hayo mengi tu!
Hapana kwa waafrika ni kosa la jinai na ni dhambi, kwa wazungu sio tu wameruhusu bali wanachochea ushoga, wanatengeneza hadi vitabu vya watoto kichochea ushoga , cartoons etcKwa Waafrika ushoga ni mambo ya siri ila wenzetu wapo wazi. Utofauti ni huo tu.
shoga baba yako
shoga baba
Kama unataka kuenjoy ushoga wako hamia kwa wazungu, huku tutaendelea kuwapiga vita mpaka muache ujinga wenu. Huo uhuru mnaoutaka mtaupata huko lakini sio bongoshoga baba yako
God is Nature........
Mkuu,Acha kusema tatizo la ushoga silo tatizo kubwa
Hujui kua misaada huja na masharti? huoni kinachoipata Uganga baada ya Museven kupinga ushoga hadharani?Hivi,hao wazungu wanapoleta misaada,huwa wanawalazimisha kuinama "mpewe" au ni akili za baadhi ya wapokea misaada kupenda kuinama na ni tabia zao tu?Uletewe chandarua cha msaada wewe uanze mambo yako ya kupumuliwa kunahusiana vipi sasa?
Hapana kwa waafrika ni kosa la jinai na ni dhambi, kwa wazungu sio tu wameruhusu bali wanachochea ushoga, wanatengeneza hadi vitabu vya watoto kichochea ushoga , cartoons etc
Ni tatizo kubwa sana kwetu Afrika.......Mkuu,
Tatizo la ushoga si Tatizo kubwa kama unavyojaribu kulielezea hapa.
Labda kama umeamua kubishana na sipo hapa kubishana, tuna matatizo mengi makubwa yanayosumbua kuliko hili unalolisema.
Kama unazo takwimu ziweke na mimi nitakuwekea takwimu.
Narudia tena tatizo la ushoga si tatizo la kulizungumzia hata kwa ngazi ya wilaya ni tatizo dogo sana.