Taarifa ya Kusitisha huduma za Athuman Kapuya Foundation

Taarifa ya Kusitisha huduma za Athuman Kapuya Foundation

Acha unafiki, ushoga upo enzi na enzi kwenye jamii zetu hasa za pwani na dini ile, people are doing it secretly. wazungu wamekuwa wakweli/si wanafiki wameweka hadharani, lakini haya mambo yanafanyika hasa kwenye influence ya waarabu.
Umesikia ya Mafia? watoto 15 wamelawitiwa na mambo kama hayo mengi tu!
Uanze Wewe kuacha Ujinga wa hatari wa namna hii.
Pia Uache tabia chafu ya kusambaza hizi Hamasa zako za Mapenzi ya jinsia Moja (Ushoga).

Ukifanya hivyo Mungu atakupenda na kukubariki
 
Nyie machoko tutawapiga vita mpaka muache huo uchoko,
Acha kutetea Mabwabwa hapa.
 
Acha unafiki, ushoga upo enzi na enzi kwenye jamii zetu hasa za pwani na dini ile, people are doing it secretly. wazungu wamekuwa wakweli/si wanafiki wameweka hadharani, lakini haya mambo yanafanyika hasa kwenye influence ya waarabu.
Umesikia ya Mafia? watoto 15 wamelawitiwa na mambo kama hayo mengi tu!
Ushoga hauhusiani na dini. Ni hulka na tabia binafsi za mtu. Pumbavu mkubwa wewe.
 
Uanze Wewe kuacha Ujinga wa hatari wa namna hii.
Pia Uache tabia chafu ya kusambaza hizi Hamasa zako za Mapenzi ya jinsia Moja (Ushoga).

Ukifanya hivyo Mungu atakupenda na kukubariki
Wewe hapo dini yako na mila za kabila lako vinakuruhusu kuwa shoga,
 
Mimi ninapinga ushoga ndio maana nimeleta hiyo habari je wewe unaunga mkono ushoga? Mimi sikubali misaada ya wazungu kwani ninatafuta mwenyewe ukisaidiwa sana mwisho wake utalipa na kulipa kwa siku hizi uwe shoga je utakubali usaidie sana ili uwe shoga?
Serikali inapokea izo hela tangu inapata uhuru had leo!! uwe unapinga au unakubali serikali yako bado ina sain cheki ya mabilion kila siku……
 
Ungelitoa ushauri nisingekujibu hivyo mjinga wewe umenitukana kuniita mnafiki na mimi nimekujibu hivyo acha kuunga ushoga wewe lete ushauri sio kuunga ushoga utapenda uitwe shoga?au kam una kaka yako au mdogo ni shoga utafurahia awe shoga?achaujinga wako wa kunitukana Toa ushauri ili watu wakusikilize usije hapa kuharibu Thread yangu umetumwa na wakubwa wako iliuje uniharibie Thread yangu? Ukiona mtu anaunga mkno mashoga basi na yeye pia huenda akawa ni shoga nin wasiwasi na wewe huend ahuo mchezo unao hutaki kusema ukweli wako .
Mkuu huwezi kuwapangia watu namna ya kujibu hoja yako.

Tulia, umeweka hoja yako mezani, vumilia ijadiliwe na kila mtu kwa maoni, uelewa, mtazamo na uzoefu wake.

Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake hapa!!!
 
Hivi ushoga uliotamalaki pwani na Pemba umeletwa na misaada?
 
Kupenda kupewa vya bure na watu wa njee ni kuonyesha ni umaskini na pia chochote unaweza pewa ili chamsingi ni kupambana na tulichonacho tusaidiane wenyewe misaada ya nje ina conditions nyingi na hao hawawezi toa msaada bila kunufaika au kutaka kitu fulani na hapo ni kutaka kuaribu kizazi chetu cha badae kiwe cha hovyo kabisa.
Tunahitaji watu wenye hekima na hofu ya Mungu kukemea hili swala maana linaonekana kama halipo lakini katika jamii yetu lipo sana.
 
Acha unafiki, ushoga upo enzi na enzi kwenye jamii zetu hasa za pwani na dini ile, people are doing it secretly. wazungu wamekuwa wakweli/si wanafiki wameweka hadharani, lakini haya mambo yanafanyika hasa kwenye influence ya waarabu.
Umesikia ya Mafia? watoto 15 wamelawitiwa na mambo kama hayo mengi tu!
Wapenda wazungu utawajua tu haya pata ujumbe kutoka kwa mchungaji ado november
 
Attachments

  • Screenshot_20240609-041940_Instagram.jpg
    Screenshot_20240609-041940_Instagram.jpg
    281.8 KB · Views: 3
Back
Top Bottom