Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
ushoga umeshika kasi sana.mweshimiwa tunaomba na kitambaa cheupe pale sinza kuwapa onyo maana ni aibu kwa vijana waliopo vyuoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Huyu hapa, Hata yeye hamnazo!Je huyu Athumani ndugu yake waziri mwandamizi zamani serikalini Professor Juma Kapuya?
Huu ndio uwajibikaji.
Vizuri sana Waziri kupitapita huku JF kuna mengi hata yasiyokuwa kwenye wizara yako unaweza kuyapush.....Watu wenye kutaka kufanya jambo tofauti mbona Wana mbinu nyingi na wengi wanadhibitiwa na wengine wanapenya lakini wanashikwa kama hivi. Mbona hata vibaka wanadhibitiwa na Polisi kata wengine wanapenya? Magonjwa yanadhibitiwa wengine wanaugua. Wakiugua wengine wanapewa dawa zilezile mwingine anapona mwingine haponi. Hata kukamatwa Kwa Hawa ni ishara ya mifumo kufanya kazi. Tushirikiane maisha haya ni mapambano mwanzo mwisho....
Labda wewe unaweza kututhibitishia kuhusu kilichoandikwa kwenye hivyo vitabu, msitake tuunge mkono kitu tusichokijua.Mheshiwa, hatua hii ni njema na inastahili kabisa kuchukuliwa kwa nia ya kulinda utaifa wetu. Nipende tu kutoa wito, isiishie kwa hao tu. Kuna wale ambao wameshaathirika na jambo hili. Hao mashoga walioko mitaani, kama wizara mnachukua hatua gani? Yaani imefikia mahala wananchi wanajichukulia sheria mikononi, kwa vile tu wanaona kifanywacho ni aibu kwao na kwa taifa, lakini kama taifa, halichukui hatua stahiki.
Mfikirie yule aliyekatwa masikio huko Zanzibar na kisha kutelekezwa msituni, mfikirie yule askali ambaye alituhumiwa huko Zanzibar etc. Watu hao na wengine ambao kwa namna moja au nyingine wanajulikana, lakini hakuna hatua madhubuti za kuwadhibi. Inawezekana mnachukua hatua kimya kimya, lakini unfortunately matokeo ya hatua hizo hatuyaoni huku SITE. Hebu mfikirie yule Meneja wa Lamada aliyetajwa na akina Mwakyembe na kwmba amepongezwa kwa kuifanya hotel yake kuwa sehemu salama ya mashoga kufikia..!! Serikali imechukua hatua gani..!!??
YAANI WASIOJULIKANA WANAHITAJIKA HUKU NA SIO HUKO WALIKO..!!!!
Jana nikiwa na tizama UTV niliona kwenye taarifa yao ya habari.Wasaalam.
4 Juni, 2024, Dodoma.
________________
Athuman Kapuya Foundation ni shirika lililosajiliwa mwaka 2021 ambapo, kwa kipindi chote limetekeleza matakwa ya kisheria ya uwasilishaji wa taarifa na kulipa ada.
Wazo jema, isipokuwa kuwaalika 'Watu wasiojulikana' ili kushughulika na wahusika wa masuala haya kwa mtazamo wangu naona kama siyo sahihi. Endapo kama kila kosa linatakiwa kushughulikiwa na 'watu wasiojukikana' Basi tutakuwa tunatengeneza Taifa la hatari Sana, Watu wengi watakuwa wanajichukulia Sheria mkononi dhidi ya maadui zao na Kisha kuibua tatizo lingine la Mauaji ya kiholela. Nafikiri Sheria zizingatiwe ktk kushughulika na Watu kama hao, tusiruhusu Mauaji ya kiholela.Mheshiwa, hatua hii ni njema na inastahili kabisa kuchukuliwa kwa nia ya kulinda utaifa wetu. Nipende tu kutoa wito, isiishie kwa hao tu. Kuna wale ambao wameshaathirika na jambo hili. Hao mashoga walioko mitaani, kama wizara mnachukua hatua gani? Yaani imefikia mahala wananchi wanajichukulia sheria mikononi, kwa vile tu wanaona kifanywacho ni aibu
YAANI WASIOJULIKANA WANAHITAJIKA HUKU NA SIO HUKO WALIKO..!!!!
Watu wenye kutaka kufanya jambo tofauti mbona Wana mbinu nyingi na wengi wanadhibitiwa na wengine wanapenya lakini wanashikwa kama hivi. Mbona hata vibaka wanadhibitiwa na Polisi kata wengine wanapenya? Magonjwa yanadhibitiwa wengine wanaugua.
Wakiugua wengine wanapewa dawa zilezile mwingine anapona mwingine haponi. Hata kukamatwa Kwa Hawa ni ishara ya mifumo kufanya kazi. Tushirikiane maisha haya ni mapambano mwanzo mwisho....
Huyu mama nampa namba moja kwa sasa kwa wanawake maarufu wanaotimiza wajibu wao kikamirifu katika Serikali hii.
Sijajua kwa ngazi zingine za chini naami wapo pia ila kwa leo nimpongeze huyu tu.
Acha unafiki, ushoga upo enzi na enzi kwenye jamii zetu hasa za pwani na dini ile, people are doing it secretly. wazungu wamekuwa wakweli/si wanafiki wameweka hadharani, lakini haya mambo yanafanyika hasa kwenye influence ya waarabu.
mbona we hujawa shoga