Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushoga ni kosa la jinai.Kosa hilo ni kosa la aina gani?
Ni kosa la jinai au mnaliweka kwa kundi gani?
Na kama ni kosa la jinai, Jinai maana yake nini?
Mkuu Abdul,Ushoga ni kosa la jinai.
Kirahisi tu, Jinai ni kosa lolote lililo katazwa kwa mujibu wa sheria. Kuelewa zaidi unaweza pia kupitia Threads: "Tofauti Kati ya Kesi za Jinai na Madai" .
Mkuu Abdul,
Ni kweli katika makosa ya jinai mtu aliyetendewa huwa ni shahidi tu? Na
anayelalamika ni Jamhuri sababu umetenda kinyume na sheria?
Mkuu Abdul,Ni kweli, ila sio katika mahakama zote, hii ipo kwa zile kesi zinazo sikilizwa kuanzia ngazi ya Mahakama ya wilaya mpaka Mahakama kuu. Kwa Mahakama ya mwanzo anashitaki aliyetendewa.
Vyema🤝Sipo hapa kuku- challenge ila kujifunza.
Nataka kufahamu njia ipi ya uchunguzi hutumika kutatua kesi hizi bila kuathiri haki ya faragha na usalama wa mtu katiba ibara ya 16-(1) -(2)?
Kumbe?Hivi kile kijarida cha FEMA bado kinasambazwa mashuleni?
Ni mtoto wa muheshimiwa juma athumani kapuya.Je huyu Athumani ndugu yake waziri mwandamizi zamani serikalini Professor Juma Kapuya?
Mkuu,Hii ina maana kwamba, katika hatua ya uchunguzi, wahusika ni washtakiwa tu na si watenda kosa.
Hapa ninaweza kukuuliza maswali mengi ila tuachane napo sababu panahitaji taaluma ya udaktari zaidi.Uchunguzi huu unaweza kujumuisha vipimo vya hospitali n.k,
Mkuu,
Ikatokea kwamba tuhuma si za kweli na wahusika tayari walishachafuliwa kwamba wao wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja.
Hawa watuhumiwa wanalipwa vipi (indemnify) zao? Na vipi kuhusu katika jamii wanayoishi nayo?
How these laws can clear the slander in their society that the allegations they have been accused for is not really?
Sababu Mimi nilishaona jamaa alikuwa na muonekano mzuri na mara nyingi akirudi kwake yupo ndani ya gari akitoka ni ndani ya gari na ni kijana tu.
Zikaanza tuhuma kwamba jamaa ni shoga sababu ni zipi? Vijana wenyewe wanajua kama ni kuwazidi mafanikio au muonekano wanafahamu wao. Ikaja kugundulika kwamba mshikaji ni player sana hivyo hupitisha watoto wakike kwa gari lakini hapo alishachafuliwa ni shoga sana.
sasa katika mazingira yetu ya kawaida hawa wtuhumiwa wanalindwa vipi kiasi cha kusema kwamba Faragha na usalama wao hautakuwa hatarini?
Nikusumbue kidogo mkuu, Naomba kesi za watu waliokutwa wakijihusisha na mapenzi ya jinsia moja na wakapewa hukumu hapa kwetu. Nataka kujifunza ni namna gani wanafanya uchunguzi wao haswa ripoti ya daktari.
Wakili msomi Abdul.Mkuu naona inatakiwa tufanye na official interview kabisa😀 (joking). Anyway, katika sheria za Tanzania, mtu ambaye amesingiziwa kwa tuhuma zisizo za kweli anaweza kuchukua hatua za kisheria kudai fidia kwa madhara aliyoyapata. Hii ndio 'indemnification'. Kwa mujibu wa sheria ya madai ya Tanzania, mtu anaweza kufungua kesi ya madai ya kashfa (defamation) ikiwa jina lake limechafuliwa kwa tuhuma zisizo za kweli.
Kesi ya kashfa inalenga kulinda sifa na heshima ya mtu dhidi ya madai yasiyo ya kweli ambayo yanaweza kumshushia heshima katika jamii. Ikiwa mtu ameathirika na kashfa, anaweza kufungua kesi mahakamani na kudai fidia kwa madhara aliyoyapata, ikiwa ni pamoja na madhara ya kihisia, kijamii, na kiuchumi.
Kuhusu ulinzi wa faragha na usalama, Tanzania ina sheria zinazolinda haki za faragha za watu. Hata hivyo, katika mazingira ya kijamii, mara nyingi ni changamoto kurejesha heshima na sifa ya mtu baada ya kuchafuliwa. Jamii inaweza kuendelea kuwa na mtazamo hasi hata baada ya tuhuma kubainika kuwa si za kweli. Hivyo, ni muhimu kwa mtu aliyechafuliwa kufanya juhudi za kisheria na kijamii kurejesha heshima yake.
Kwa upande wa sheria, mtu anaweza kutafuta ushauri wa kisheria na kuchukua hatua stahiki kudai haki zake. Ni muhimu kwa mtu kufahamu haki zake na kuzitumia ipasavyo ili kulinda sifa na heshima yake katika jamii.
Kumekuwa na kesi nyingi zilizofunguliwa Tanzania zinazohusiana na mapenzi ya jinsia moja, ikiwemo ile inayomhusu Kena Noel au ile ya polisi wa Zanzibar. Hata hivyo, hakuna kesi hata moja ambayo watu wawili wameshtakiwa pamoja na kutiwa hatiani kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja hapa nchini.
Wee Mlongo huoni aibu kuhamasisha mauaji kwa binadamu mwenzio, tena asiye na hatia yoyote kwako? Kwani mwili ni wake au wako?Mheshiwa, hatua hii ni njema na inastahili kabisa kuchukuliwa kwa nia ya kulinda utaifa wetu. Nipende tu kutoa wito, isiishie kwa hao tu. Kuna wale ambao wameshaathirika na jambo hili. Hao mashoga walioko mitaani, kama wizara mnachukua hatua gani? Yaani imefikia mahala wananchi wanajichukulia sheria mikononi, kwa vile tu wanaona kifanywacho ni aibu kwao na kwa taifa, lakini kama taifa, halichukui hatua stahiki.
Mfikirie yule aliyekatwa masikio huko Zanzibar na kisha kutelekezwa msituni, mfikirie yule askali ambaye alituhumiwa huko Zanzibar etc. Watu hao na wengine ambao kwa namna moja au nyingine wanajulikana, lakini hakuna hatua madhubuti za kuwadhibi. Inawezekana mnachukua hatua kimya kimya, lakini unfortunately matokeo ya hatua hizo hatuyaoni huku SITE. Hebu mfikirie yule Meneja wa Lamada aliyetajwa na akina Mwakyembe na kwmba amepongezwa kwa kuifanya hotel yake kuwa sehemu salama ya mashoga kufikia..!! Serikali imechukua hatua gani..!!??
YAANI WASIOJULIKANA WANAHITAJIKA HUKU NA SIO HUKO WALIKO..!!!!
Kwani kitambaa cheupe ni mahali Pa watu straight tyuu? Si ni watu wote? Acha ubaguzii.ushoga umeshika kasi sana.mweshimiwa tunaomba na kitambaa cheupe pale sinza kuwapa onyo maana ni aibu kwa vijana waliopo vyuoni
Si kumesemwa tuhuma za kukiuka takwa la kutokinzana na mila na tamaduni za Mtanzania?.Hamjaeleza mnachunguza tuhuma zipi?
Kazi ya serikali ni popoteKwani kitambaa cheupe ni mahali Pa watu straight tyuu? Si ni watu wote? Acha ubaguzii.
Mnaweza sasa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie machoko tutawapiga vita mpaka muache huo uchoko,
Acha kutetea Mabwabwa hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi hapa mnawatibua hawa straight uchwaraa, wanahemkwa had jasho kwenye vipira, woiiiiihUshoga uko mpaka kwenye jumba kuu la nchi yako. Anzia hukoa acha unafiki.