#COVID19 Taarifa ya tume ya Corona sio yetu watuambie walikoitoa

Wapi nimesema ni msukuma, je unajua maana ya "Sukuma gang" au umekurupuka tu. Kama mnajua kuwa samia naye ni mwanadamu, je mbona mlikuwa mnaamini kila analowaambia jiwe ambaye naye alikuwa binadamu
Ndomaana nakuita mshamba (jiwe ndo nani). Aidha sukuma gang inamaana gani kwa uelewako.

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
 
Hawa jamaa wa tume na mama yetu wa taifa wanatutafuta watanzania! Hii swala la kuunda tume lenyewe lilikaa ki magumashi tu! Haya mapendekezo tuliyategemea hata kabla ya kuundwa kwa tume yenyewe!
 
Hawa jamaa wa tume na mama yetu wa taifa wanatutafuta watanzania! Hii swala la kuunda tume lenyewe lilikaa ki magumashi tu! Haya mapendekezo tuliyategemea hata kabla ya kuundwa kwa tume yenyewe!
Wiki mbili kabla yakutolewa kwa ripot mama ndo akaanza kuvaa barakoa.
 
😀😃😄😁😁
 
Chief you are right, yes! it is a global pandemic disease, lakini suala la kuniridhisha juu ya hizi chanjo ni muhimu pia. Haitakuwa jambo la maana kukimbilia pasipo hakikisho la kiusalama kwa mtumiaji.

Mataifa makubwa na yenye nguvu kubwa duniani yasijekuwa yamefanya "global depopulation conspiracy" kwa kuwa hii ni njama yao ya muda mrefu na hata 'advocaters" wao kama wakina Bill Gates hawajifichi ktk hili.

Katika mojawapo wa maazimio ambayo Umoja wa Mataifa umeyapitisha na nchi wanachama kuyaridhia ni kuzitambua jamii za LGBTI. Yote haya yanabeba agenda za kupunguza idadi ya watu duniani.

Sasa kama wewe unaona ni fursa adimu ya kwenda nje ni ya kutafuta maisha kwa sharti la kupata chanjo, basi siku ukianza kupata hamu na raha ya kukumbatiwa na mtu wa jinsi kama yako basi utambue hiyo ndiyo athari yenyewe.
 
MAMA YUPO NYUMA YA MUDA.
Watu huko mpaka wanapewa OFA ZA BIA ili wakubali KUPEWA CHANJOView attachment 1789569
COVID COMPLIANT BAR !!!!!!! Leseni zitaanza kutolewa zilizoandika this is A COVID 19 COMLIANT BAR ,wakinogewa Baadaye watahamia misikitini na kuandika this Mosque is a COVID COMPLIANT MOSQUE na baadaye wataenda makanisani na kuandika this is a COVID COMPLIANT CHURCH!!! nk

 
Nimeshangaa sana wanaposema eti chanjo haina madhara, wamepima maabara gani? Ikiwa huwezi kutengeneza chanjo, unawezaje kuthibitisha ubora wa chanjo ambayo hujatengeneza? Huenda mabeberu wamefanya yao.
 
Watoto wa marehemu poleni sana

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mm mwenyewe nimeshangaa sana maana kwa mwezi huu tu nimesafiri karibu mkoa 5 ikiwemo dar nimeona mikusanyiko ya hatari sana, kwenye mabas ndio usiseme,hapa kuna kitu kinatengezwa ili watu wapige kodi zetu kabisa.
 
Unajua maana ya free beer?
na wakiandika hi vyo msikitini watakuwa wanatoa swala za bure?
 
Tanzania hakuna wagonjwa wa Corona.
Kwanini tume ishauri serikali itangaze uwepo wa Corona nchini?
Mkuu mm mwenyewe nimeshangaa sana maana kwa mwezi huu tu nimesafiri karibu mkoa 5 ikiwemo dar nimeona mikusanyiko ya hatari sana, kwenye mabas ndio usiseme,hapa kuna kitu kinatengezwa ili watu wapige kodi zetu kabisa.
 
Alietaka kujua mwendazake aliathiri vipi taifa asome chapisho la huyu bwana. siku zote TAFITI hupingwa kwa TAFITI. nchi haithamini wala kutambua mchango wa wataalam.
 
Tanzania hakuna wagonjwa wa Corona.
Kwanini tume ishauri serikali itangaze uwepo wa Corona nchini?
unatafiti yeyote ya kitaalam uliofanya? kama hujafanya research kaa kimyaaaaaa, nyie ndo mnaopunguza THAMANI ya elimu ya juu.
 
kujua kama wagonjwa wa Corona wapo au hawapo.
Nayo UNAHITAJI research?.
Baba yako alipoteza hela zake kukusomesha
Bora angenunua kuku angekula mayai
unatafiti yeyote ya kitaalam uliofanya? kama hujafanya research kaa kimyaaaaaa, nyie ndo mnaopunguza THAMANI ya elimu ya juu.
 
try to thing globally, dunia nzima watu wanafanya tafiti juu ya kukabiliana na TATIZO JIPYA katika jamii zao, sisi tuna NIMR,TFDA,GCLA na TBS, unadhani kazi ya haya mashirika ni ipi??????? hatuishi peke yetu duniani tunaishi na mataifa mengine lazima tujifunze wengine wanafanyaje ili nasi kama taifa tuchague njia ya kupita and that is what actually done by our president. watanzania tumeathiriwa sana na utawala uliopita. utawala wa kutusi wenzetu kwa kuwaita MABEBERU utawala wa kutotaka kushauriwa wala kujifunza kwa jumuiya za kimataifa nini wanafanya.
 
kujua kama wagonjwa wa Corona wapo au hawapo.
Nayo UNAHITAJI research?.
Baba yako alipoteza hela zake kukusomesha
Bora angenunua kuku angekula mayai
kuna uwezekano mkubwa hujui nini maana ya RESEARCH and its application.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…