#COVID19 Taarifa ya tume ya Corona sio yetu watuambie walikoitoa

Vp mbona unashupalia njia tulizotumia n mbaya kuna mumeo alienda na corona?
 
Hivi wewe kwenye sehem za kutolea huduma za afya umefanya research kujua nini kinaendelea au unaamua potosha , je ulifikili kamati ipite kila mtaa tz nzima ,maoni ya kamati lazima yajikite Sana hasa sehem za kutolea huduma uko ventilator zinaendelea Kama kawa Yani Sasa baki upotoshaji wako,
Nilazima kuendelea chukua taadhali, utaki baki yumbani kwako na familia yako,mnachosha Sana
 
Duh....!
Raisi aliunda tume ijue ukubwa wa tatizo na imletee mapendekezo ya nini kifanyike.

Na tume imefanya ilichofanya na kuleta mapedekezo ya nini kifanyike. Tume haijatunga sheria, imeleta mapendekezo tu.
Raisi hafungwi mahali popote na hayo mapendekezo ya tume. Raisi ana washauri wake watayapitia na kuona ni lipi linafaa kwa wakati huu.
Sioni sababu ya kulalamika kama vile tumeletewa sheria mpya, wakati ni mapendekezo tu. Au tunadhani raisi wetu hana uwezo wa kuona ni lipi linafaa kwa taifa lake?
 
Tatizo lenu ninyi hamjaelewa,mama anataka MIKOPO ile miradi aliyoiacha bulldozer aisee si mchezo,kama ukilegea kukusanya kodi itakutokea puani,na ile hali aliyoionesha mama kwa kuwabembeleza wawekezaji,ni lazima awafurahishe mabwana wa dunia ili apewe mikopo,ukiangalia Kenyatta aliyemtembelea juzi hapa kakopa mikopo minono isiyopungua kumi katika kipindi cha mwaka na miezi kadhaa tangu korona iingie rasmi Africa,ukiwa mfuatiliaji wa majambo utangundua mama kaanza kuvaa mabarakoa punde tu alivyotoka Kenya...hivyo huenda Kenyatta kampa shule kuhusiana na mikopo ya mabwana wa dunia

Mawazo yangu tu
 
Mbona statistics za magonjwa mengine hutangaziwi kila siku kama ilivyo corona?
Mtu kama anataka statistics kwa ajili sijui ku analyse mambo ya jamii si aende zinakotunzwa,mimi mwananchi sihitaji kujua eti corona imeua wangapi itanisaidia nini?
watutangazie basi na vyifo yote vinavyotekea hosptali kila siku.
hoja ni kutimiza masharti ya watoa pesa za corona.
 
Kamati feki riport feki machale yalinicheza nilihisi imekopiwa sehemu kumbe kweli
 
Ni vyema ungeleta documents zenye evidence kua tume imecopy na kupaste ili nasi tujirishe kwalo. Pia tuendelee kujifukiza au nasema uongo ndugu yang!!
 
Mwandishi asante mkuu.....Ila hujaweza kubaini lililochini ya kapeti!!

Ukilibaini Hilo utakaa kimya
 

Shida ni yale masharti yaani wanajeshi wetu wachanjwe kwanza? na wataalamu wetu hawa hawana hata muda wa kufikiri kwamba hiyohiyo chanjo inaweza tumika kuangamiza.Hivyi chanjo ya Urusi inaweza pelekwa wakachomwe wanajeshi wa Marekani?
ila kwa vile tunapendwa sana acha tuone muda utatupa majibu.
 
Niliandika hapa kuwa watatokea wapumbavu kama huyu.eti mpaka ulaya watu wanaingia mipirani.mpuuzi huyu hajui kuwa nchi nyingi duniani zimesha chanja wananchi na wageni wanaoishi huko chanjo ya corona.kilichowakuta wahindi kinakaribia kulipuka dar halafu wewe utajua uliandika nini na utajuta.
 
Nimechoka niliposikia et lockdown, Ulaya watu sasa wanakumbatiana, wanahudhuri harusi na viwanjani wameanza kujazana leo sisi tunasema No! kweli?
Lakini jamani si mnakuwa mnawaita watu wa ulaya mabeberu na hamuwasikilizi na wala hamtaki kuwafuata? Mbona sasa mifano yenu yote mnasema ulaya, ulaya, ulaya! Na mbona hamsemi India ua hata china ambao ndio marafiki zenu wakuu?
 
Tulieni dawa iwaingie, mtachanjwa tu napendekeza kwa wale watakaogomea chanjo wawe wanapimwa mara moja kwa wiki covidi kwa kutumia kipimo cha mchina kwa gharama ya dola mia mbili ili kutuhakikishia tuliochanjwa usalama maana virusi vinabadilika ati🤣
 
Statistics za Corona hapa nchini zinatunzwa wapi?
 
Hii hata mlevi hawezi kukubali yaani wanajeshi nao wachanjwe?!!!!!...
 
Mkuu wewe kubali kufa kwa ujinga wako mwenyewe.
Marekani hadi last week walikuwa wamewachoma wananchi wao vaccines watu milioni 160 na kaki ya hao milioni 120 walikuwa wamemaliza chanjo ya pili.

Sasa nyie endeleeni kubwabwaja na kuomba kujifukiza tu maana sitegemei hao mamilioni ya wamarekani kufa kwa chanjo hizo.

Tunakufa kwa kukosa maarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…