Mkuu wangu unategemea nini ikiwa siku zote report ya TUME ndio hukumu ya mwisho..Lini tumevuka swala hata moja baada ya report ya tume kutolewa?. Tusubiri tu tume ya Waziri mkuu, Chadema na pengine ya JK..Baada ya hizi tume kitu gani kitafuatia au ndio itaishia watu kulalamika tu.
Baada ya hizi tume kitu gani kitafuatia au ndio itaishia watu kulalamika tu.
Huyu John Tendwa ni dhahiri sasa ni janga la Taifa. Kwa kuwa bila shaka yoyote siku zote amekuwa akifanya upendeleo wa wazi kwa CCM, kama atakuwa muungwana na kulinda hadhi ya ujaji alionao ni vyema sasa hivi, bila kuchelewa, akafanya uamuzi wa busara kujiuzuru nafasi yake ya usajili wa vyama na kumkabidhi barua ya kujiuzuru aliyemteua ambaye ni JK. Kwa kuwa ni dhahiri amedhindwa jukumu lake kubwa ambalo ni kuvilea vyama vyote vyenye usajili wa kudumu, bila upendeleo wowote!!Kilichotusaidia kwenye report hii ni huyu mtuhumiwa muhimu ambaye mara zote amekuwa akisahaulika wala hatajwi na si mwingine bali ni Bwana John Tendwa.
Mkutano waliofanya CCM Bububu na hawakuingiliwa nao ni msumari mwingine kwa hawa Wauwaji, mimi nadhani report hizi hata ningekabidhiwa mimi kazi ya kuziandaa nisingepata shida yoyote. kila kitu kiko open n clear, labda tu kama Watanzania tumezoea kekundu keusi ndio muendelee kusubili jipya.
Was very right indeed, Jaji ihema hajawahi kuandika hukumu, kwa hiyo inawezekana hii report ni ya kwanza kwake kuandika. Ukiwa kilaza ni kilaza tu, Nchimbi naye kilaza anachagua kilaza mwenzake kufanya kazi ya kisomi, wapi na wapi bana.tindu lissu was right,angalieni tofauti ya quality kati ya report ya jaji mstaafu mh manento na yule wa tume ya nchimbi!!!!
Muhtasari sawa!!hivyo unataka kunishawishi kuwa kwenye ripoti kamili maneno hayo hapo juu hayatakuwepo??nazungumza kwa kadiri ya hichi nikionacho,nikiipata hiyo ripoti kamili nata bold hichi nilichokiona hapa.Huo ni Muhtasari wa taarifa.
Tafuta taarifa kamili ndio uhitimishe.
Jaji Liundi wakati akiwa msajili wa vyama, siku chache tu baada ya kuachia ofisi ya msajili wa vyama vya siasa alichukuwa fomu CCM kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki na Magamba kama kawa kama dawa wakampiga chini.Huyu John Tendwa ni dhahiri sasa ni janga la Taifa. Kwa kuwa bila shaka yoyote siku zote amekuwa akifanya upendeleo wa wazi kwa CCM, kama atakuwa muungwana na kulinda hadhi ya ujaji alionao ni vyema sasa hivi, bila kuchelewa, akafanya uamuzi wa busara kujiuzuru nafasi yake ya usajili wa vyama na kumkabidhi barua ya kujiuzuru aliyemteua ambaye ni JK. Kwa kuwa ni dhahiri amedhindwa jukumu lake kubwa ambalo ni kuvilea vyama vyote vyenye usajili wa kudumu, bila upendeleo wowote!!
Muhtasari sawa!!hivyo unataka kunishawishi kuwa kwenye ripoti kamili maneno hayo hapo juu hayatakuwepo??nazungumza kwa kadiri ya hichi nikionacho,nikiipata hiyo ripoti kamili nata bold hichi nilichokiona hapa.
hi ripoti imekaa sawa kama ya kimataifa vile.manento ni jembe la ukweli .big up jaji wa ukweli .kwa mfano huu tanzania tutaweza kuendelea
Na kilichokuwa kinanikera mimi ni kwa mtuhumiwa muhimu John Tendwa kutokutajwa kwenye zile report mbili za awali, kichekesho leo Hussein Mwinyi amewasimamisha kazi vigogo wa Msd ili kupisha uchunguzi wa kashfa ya ARV bandia, nikajiuliza ni kwa nini hawa viongozi wa Polisi walibakia ofisini wakati wa uchunguzi? au tuna Serikali tofauti?Hii ni ripoti ya akili hata kwa ufupisho wake. Kwani imejibu maswali ya msingi ambayo Ripoti ya Uchimvi imeshindwa hata kugusia. Kinachoshangaza ni kuwa wote waliangalia kitu kile kile!!!