Curriculum Specialist
JF-Expert Member
- Oct 8, 2007
- 2,732
- 750
Isome vizuri, utaona hii imeandaliwa kisomi na kwa uwazi kabisa. Wamenukuu vipengele vya sheria ambavyo Tendwa na kina Kamuhanda wamechemka. Nimeipenda sana. Naamini hata wadau mkiisoma mtaona ina mantiki kuliko ule "uji" tulionyeshwa kwa nguvu na kina Nchimbi!
Nikweli hii ni kiweledi, na nafikiri imetolewa kuokoa hadhi ya serkali ya kikwete mbele ya jamii ya kimataifa! Sasa Nchimbi anapaswa kumsaidia Kikwete kwa kujiuzulu, asisubiri Kikwete amuwajibishe! Tendwa nae astaafu kwa manufaa ya umma akiongozana na kamanda kamuhanda!