Curriculum Specialist
JF-Expert Member
- Oct 8, 2007
- 2,732
- 750
Isome vizuri, utaona hii imeandaliwa kisomi na kwa uwazi kabisa. Wamenukuu vipengele vya sheria ambavyo Tendwa na kina Kamuhanda wamechemka. Nimeipenda sana. Naamini hata wadau mkiisoma mtaona ina mantiki kuliko ule "uji" tulionyeshwa kwa nguvu na kina Nchimbi!
Mkuu, Tendwa hajawahi kuwa jaji ila anataaluma ya sheria ambayo haina manufaa kwake mwenyewe wala jamii!Huyu John Tendwa ni dhahiri sasa ni janga la Taifa. Kwa kuwa bila shaka yoyote siku zote amekuwa akifanya upendeleo wa wazi kwa CCM, kama atakuwa muungwana na kulinda hadhi ya ujaji alionao ni vyema sasa hivi, bila kuchelewa, akafanya uamuzi wa busara kujiuzuru nafasi yake ya usajili wa vyama na kumkabidhi barua ya kujiuzuru aliyemteua ambaye ni JK. Kwa kuwa ni dhahiri amedhindwa jukumu lake kubwa ambalo ni kuvilea vyama vyote vyenye usajili wa kudumu, bila upendeleo wowote!!
Baada ya hizi tume kitu gani kitafuatia au ndio itaishia watu kulalamika tu.
Hii sentence hapa chini nimeipenda:hi ripoti imekaa sawa kama ya kimataifa vile.manento ni jembe la ukweli .big up jaji wa ukweli
.kwa mfano huu tanzania tutaweza kuendelea
Nisaidieni mimi mwenzenu, maana nina king'amuzi cha star times ambacho ndani yake kuna channel mbili tu mhimu, chennel ten na TBC, ninafanyeje ili niweze kuaccess chennel nyingine kwa kutumia king'amuzi hiki. vinginevyo itabidi tu nikitupe nitafute kingine, maana huwa daima nikiangalia taarifa za habari za TBC naishia kukereka tu.Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha...mkuu pole kwa kupotea channel leo, ukiangalia TBC lazima utatamani kutapika.
makamu mwenyekiti msaidizi wa hiyo tume ya utawala bora amechakachua report nzuri iliyotolewa kwa maneno mbofu mbofu.
Nisaidieni mimi mwenzenu, maana nina king'amuzi cha star times ambacho ndani yake kuna channel mbili tu mhimu, chennel ten na TBC, ninafanyeje ili niweze kuaccess chennel nyingine kwa kutumia king'amuzi hiki. vinginevyo itabidi tu nikitupe nitafute kingine, maana huwa daima nikiangalia taarifa za habari za TBC naishia kukereka tu.
You are right; zamani nilikuwa naweza kuangalia taarifa ya habari kupitia mlimani TV, na yenyewe wakaiondoa. Yaani sasa hivi ukifika muda wa taarifa ya habari nakosa raha kabisa. Maana sijui niangalie wapi. bahati mbaya kubwa sana taarifa ya habari ya chennel ten huwa ni saa moja, muda ambao mara nyingi huwa sijarudi home. Hivi hakuna ving'amuzi vinavyoshika channel zote? Nafikiri itabidi tu nitafute king'amuzi kingine. No way out!TBC sio muhimu, sema una channel 1 yaani channel 10 nyingine ya nyongeza kwa watoto kuangalia katuni (tbc)