TAARIFA: YAH:Kuvunjika RASMI kwa ndoa kati ya Ruttashobolwa na Madame B

TAARIFA: YAH:Kuvunjika RASMI kwa ndoa kati ya Ruttashobolwa na Madame B

ahahahahhahhhahhahahhahhaha usiusemee moyo banaa!
we songesha usomeke!

Nadhani hujaongea bado!
Hayo maneno utakujayasema kunako mko mshuka moko na Baba V !
Ilhali ashautia mwikowe sufuriani !
Hapo ndipo utakapo NYOROSHA maneno uzuri .
Baba Viiii jaaangu kusaidi walii !
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyu Baba V ako wapi jamani ?
Baba V iiiiiiii
Unajua Baba V utaniuzi ujue?
Afu mi nna hasira mbaya !
Ohooo!
Hivi unataka huyu binti snowhite mpaka akukretie sredi kua anakutaka!
Mphoto huuoni ! Na miandishi pia ?
Haka kabinti mi nshakaridi longo fakini kanakutaka!
Tena kanakupenda mbaya!
Hapa kanajibaraguza mara choroko mara dengu !
Kameshatia maguu kunako 18 zako! Cheza na winga sasa!
Hadi kesho ningependa nisikie ushatupia kambani .
Hatuko hapa kulea kenge! Hapa ikijiseti unabatua tu! Mbere kwa mbere.

That can be an eye opener!!! inawezekana eeeh!
 
Last edited by a moderator:
Nadhani hujaongea bado!
Hayo maneno utakujayasema kunako mko mshuka moko na Baba V !
Ilhali ashautia mwikowe sufuriani !
Hapo ndipo utakapo NYOROSHA maneno uzuri .
Baba Viiii jaaangu kusaidi walii !

uhuhuuuu!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Chimbuvu umepata wapi jeuri hii? ama kweli ganda la muwa la jana chungi kaona kivuno
 
Last edited by a moderator:
uhuhuuuu!!!!!!!

Ndiyo eeh !
Gugugumia huku unanata na biti za mwenendo wa nyavu!
Fish akishaingia nyavuni shuruti uvute nyavu kummiliki , hiyo ndy kanuni !
Ukisubiri kwamba atatoka mwenyewe nyavuni eti akufate mtumbwini , utaota mvi mara mbili ya mbunge wa Munduli kabla hujammiliki fish husika!
 
Baada ya hili la akina
Madame B
rutta &
Chimbuvu
Kumalizika now i'm hope even Isidingo will reach the end !
Coz in better logic dictates since logically everythin must be have beginning and end!!
Understand a little bit !
Nothin could have just always existe yet in order for our space with tym existe!
Somethin must have always existed before it!
 
Last edited by a moderator:
Kwenda kwa:mwenyekiti mahusiano Baba V
kk:sreening committee
yah:masikitiko makubwa

Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa kutoka kwa mwenyekiti kuhusu uhusiano wa Ruttashobolwa kuvunjika rasmi,nikiwa kama mwanachitchat nimesikitishwa na tukio hilo.
Napenda kumpa pole ndugu Ruttashobolwa kwa yote yaliyomkuta,pia kama wanachitchat tuchukulie hili tukio sio kwa upande mmoja bali iwe kama fundisho kwa wote kwa kuangalia makosa yaliyotendeka nasi katika mahusiano yetu na ndoa zetu hapa chitchat ziweze kudumu na zisirudie makosa na chitchat iwe sehemu nzuri ya kifamilia na kulea watoto vizuri kama @C6, charminglady na mtoto wao pekee tedo, Baba V na mama V na mtoto wao Chilli.
Asanteni sana.
Chimbuvu & Madame B

Masikitiko au umefurahia?acha kumsanifu ruta
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyu Baba V ako wapi jamani ?
Baba V iiiiiiii
Unajua Baba V utaniuzi ujue?
Afu mi nna hasira mbaya !
Ohooo!
Hivi unataka huyu binti snowhite mpaka akukretie sredi kua anakutaka!
Mphoto huuoni ! Na miandishi pia ?
Haka kabinti mi nshakaridi longo fakini kanakutaka!
Tena kanakupenda mbaya!
Hapa kanajibaraguza mara choroko mara dengu !
Kameshatia maguu kunako 18 zako! Cheza na winga sasa!
Hadi kesho ningependa nisikie ushatupia kambani .
Hatuko hapa kulea kenge! Hapa ikijiseti unabatua tu! Mbere kwa mbere.

Judgement acha ukuwadi.
 
Last edited by a moderator:
By Chimbuvu
Kwenda kwa:mwenyekiti mahusiano Baba V
kk:sreening committee
yah:masikitiko makubwa

Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa kutoka kwa mwenyekiti kuhusu uhusiano wa Ruttashobolwa kuvunjika rasmi,nikiwa kama mwanachitchat nimesikitishwa na tukio hilo.
Napenda kumpa pole ndugu Ruttashobolwa kwa yote yaliyomkuta,pia kama wanachitchat tuchukulie hili tukio sio kwa upande mmoja bali iwe kama fundisho kwa wote kwa kuangalia makosa yaliyotendeka nasi katika mahusiano yetu na ndoa zetu hapa chitchat ziweze kudumu na zisirudie makosa na chitchat iwe sehemu nzuri ya kifamilia na kulea watoto vizuri kama @C6, charminglady na mtoto wao pekee tedo, Baba V na mama V na mtoto wao Chilli.
Asanteni sana.
Chimbuvu & Madame B

Masikitiko au umefurahia?acha kumsanifu ruta
Hebu mweleze, akumbuke kuwa he is a man now and he will remain a man tommorow!!
 
Last edited by a moderator:
Dah nimepitwa na mengi kweli, kwa hiyo ndio kusema kuna ndoa imevunjika....sasa sijui nitoe pole au hongera kama sielewi vile!!
 
Huu ni ushahidi tosha!

Dah nimepitwa na mengi kweli, kwa hiyo ndio kusema kuna ndoa imevunjika....sasa sijui nitoe pole au hongera kama sielewi vile!!
 
Huu ndio ushahidi kuwa hakuna ndoa kati yangu na madame b
cc Voice of Wisdom
Chilli
passion lady
Judgement!

Hakika hawana pakutokea!

Jf uishi milele!

Wapendwa wana chit chat ni dhahiri kwamba wote tumekuwa mashuhuda wa kilichokuwa kikiendelea katika iliyokuwa ndoa ya loya Ruttashobolwa na Madame B huku kwa upande mwingine ikimuhusisha Chimbuvu. Kama ilivyo lengo kuu la tume ya Mahusiano na Ndoa hapa chit chat ni kuhakikisha kuwa members wanaendelea vizuri na kufurahia mahusiano yao, tume ilijitahidi kufanya jitihada za kutatua mgogoro ili ndoa iendelee kudumu lakini sote tumeshuhudia Madame B kushindwa kutoa ushirikiano.

Nawashukuru wadau wa kamati mbalimbali na members kwa ujumla ambao walifanya jitihada za kuikoa ndoa hiyo.
Napenda kuchukua nafasi hii kuwatangazia wana chit chat kuwa baada ya jitihada za muda mrefu kuokoa uhusiano wake na Madame B ,Ndugu Ruttashobolwa ameniletea taarifa za kumpa talaka RASMI Madame B leo hii tar.01/12/2012 (siku ya kujitafakari TUKO WANGAPI).
Nikiwa kama mwenyekiti wa tume ya kuratibu mahusiano na ndoa, natangaza rasmi kuwa Madame B sio mke wa Ruttashobolwa tena.
Aidha ni vema nikawasilisha MASIKITIKO yangu juu ya kitendo cha ndugu Chimbuvu kuanzisha uzi kwa lengo la kunivunjia heshima na kwa kunituhumu kuwa namtaka Madame B huku akijua kuwa ni uzushi na kafanya hivyo kwa makusudi kabisa.ningependa kumshauri kuwa siku nyingine awe makini kabla hajafanya jambo.
Aidha ninapenda kutoa WITO kwa wana chit chat wote kufuata taratibu zilizowekwa kama tulivyokubaliana.
cc. KAMATI YA SCREENING
cc.KAMATI YA SHERIA
cc.KAMATI YA MAADILI
cc Madame B


Wenu Baba V
MWENYEKITI WA TUME YA KURATIBU MAHUSIANO CHIT CHAT 2012
 
Last edited by a moderator:
Sasa wale walio fikiri sina ushahidi waangalie!
Baba v alivunja ndoa vizuri!
Madame B nimke halali wa Chimbuvu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom