Tupo hearing ama?
Chimbuvu mkeo Madame B alikuwa anasema mimi nayeye hatuja achana kwahiyo nilimsogezea ushahidi karibu!
Cc Voice of Wisdom
Madame B
Huu ndio ushahidi kuwa hakuna ndoa kati yangu na madame b
cc Voice of Wisdom
Chilli
passion lady
Judgement!
Hakika hawana pakutokea!
Jf uishi milele!
Nasema huyo binti passion lady hawezi kuolewa hadi akaguliwe! Kiburi hakikusaidii lolote!!!
mheshimiwa chief maelezo ya kuvunjika kwa ndoa yako na Madame B nimeyapata kwa kina, na pia nimeyaelewa. mi sikatai kuwa Madame B ana talaka, talaka anayo kabisa na nimeiona, ila talaka yenyewe inapingana na tamko la Baba V, [MENTION]Madame B weka hati yako ya talaka hapa ili mheshimiwa aitambue na kutoa ufafanuzi wa talaka rejea

Umempa mzigo mzito sana hakika!
na wewe mchangiaji yuleyule
TEDO?RUTTA amepata chombo thats y kaamua kumuacha bi shost!alizuzuka na mkorogo wa mkongo,bby wangu hua hashindwi na kitu aliamua kuacha tu ndoa za mitala hakuziweza