TAARIFA: YAH:Kuvunjika RASMI kwa ndoa kati ya Ruttashobolwa na Madame B

Nauliza tena mamlaka ya kufanya ukaguzi ulipewa na nani? Na uthibitishe kukabidhiwa hilo jukumu!

Nasema huyo binti passion lady hawezi kuolewa hadi akaguliwe! Kiburi hakikusaidii lolote!!!
 
Last edited by a moderator:
Uyu mtu huyu duuh! Siku akiachwa na wanaume wake atakuwa tajiri wa kutupwa.
 
mheshimiwa chief maelezo ya kuvunjika kwa ndoa yako na Madame B nimeyapata kwa kina, na pia nimeyaelewa. mi sikatai kuwa Madame B ana talaka, talaka anayo kabisa na nimeiona, ila talaka yenyewe inapingana na tamko la Baba V, [MENTION]Madame B weka hati yako ya talaka hapa ili mheshimiwa aitambue na kutoa ufafanuzi wa talaka rejea
 

Ndo maana nimeenda kuzifumua hizi thread zilikokuwa ili uone, hii ni moja tu, ukitaka kujua zaidi mtafute Judgement
 
Last edited by a moderator:

Ndo maana nimeenda kuzifumua hizi thread zilikokuwa ili uone, hii ni moja tu, ukitaka kujua zaidi mtafute Judgement
 
Last edited by a moderator:
Umempa mzigo mzito sana hakika!

 
asante Mungu kwa kujibu maombi yangu na TUTTASHOBOLWA wangu!kilililililiiiiiiiiii,nderemo na vifijoasante sana kamati kwa kuliona hilo
 
Umeona sasa my passion lady nilichokuwa na kwambia hawa ni mabingwa wa kusahau nikaamua kuwaletea ushahidi karibu yao!

Najua watatafuta njia nyingine lakini nitawashinda!

TEDO?RUTTA amepata chombo thats y kaamua kumuacha bi shost!alizuzuka na mkorogo wa mkongo,bby wangu hua hashindwi na kitu aliamua kuacha tu ndoa za mitala hakuziweza
 
Last edited by a moderator:
dah huu uzi umeniacha hoi, Baba V nilileta ombi la 'ndoa ya mkataba'
wengine tunapigwa talaka za mara kwa mara shauri
ya ndoa kukaa muda mrefu then mnachokana.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…