TAARIFA: YAH:Kuvunjika RASMI kwa ndoa kati ya Ruttashobolwa na Madame B

naimani utawashinda swr!wanacheza na akili yako nn?wewe kichwa bwana tutawaadhiri,we acha waendelee
 
we MAMNDENYI bby wangu hua c wa hivyo my dear,anaridhika na mm,ananipenda kinoma kukinai hapa ni hadithi za abunuasi utasubiri sana !
 
Nawasikilizeni tu hapa, afu ndo nimetoka jela dakika chache zilizopita hata home sijafika wala kuoga sijaoga..
 
Kukubali matokeo ni njia sahihi ya kulinda haki za wengine!

Bora uwaeleze maana wanaona kama vile umemuogopa saaaana huyo mkongo kumbe ni ustaarabu tu,waambie hiyo inaitwa Funika kombe mwanaharamu apite!
 
Baba V habari za jela,
kule usiendage hapatufai
kula good time hapa cc.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…