Taarifa za Bajeti Kuu ya Serikali zapuuzwa, kisanga cha Bandari chaendelea kushika kasi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ama kwa hakika hali ni tete, pamoja na kuchukuliwa poa , wananchi wa Tanzania ni kama wameanza kuamka kutoka kwenye usingizi wa pono.

Pamoja na yote yanayoendelea Bungeni kuhusiana na Bajeti ya serikali ya 23/24, lakini wananchi hawajishughulishi nayo kabisa! Watu wote wamekomalia Mkataba wa Bandari tu.

Hii maana yake nini?
 
Hata MAKALA alitoa siri ya Mbowe kupokea ruzuku kimya kimya tukampuuza tu
 
La bandari litapita siku si nyingi na maisha yataendelea kama kawaida
 
Mh πŸ€” ngoja chawa wa mama waje tuone wanasemaje...!
 
Acha uchawi dogo. Fanya kazi ulishe familia yako
 


Hii maana yake saa ya ukombozi ni sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…