Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Ama kwa hakika hali ni tete, pamoja na kuchukuliwa poa , wananchi wa Tanzania ni kama wameanza kuamka kutoka kwenye usingizi wa pono.
Pamoja na yote yanayoendelea Bungeni kuhusiana na Bajeti ya serikali ya 23/24, lakini wananchi hawajishughulishi nayo kabisa! Watu wote wamekomalia Mkataba wa Bandari tu.
Hii maana yake nini?
Pamoja na mbwembwe za kuingia Bungeni... Mwigulu hajawahi kuwa na jema kwa nchi hii!
Kama kawaida yao; waZanzibari watakuwa wanaitana vikao kuwakebehi waTanganyika!