Taarifa za Bajeti Kuu ya Serikali zapuuzwa, kisanga cha Bandari chaendelea kushika kasi

Ama kwa hakika hali ni tete , pamoja na kuchukuliwa poa , wananchi wa Tanzania ni kama wameanza kuamka kutoka kwenye usingizi wa pono .

Pamoja na yote yanayoendelea Bungeni kuhusiana na Bajeti ya serikali ya 23/24 , lakini wananchi hawajishughulishi nayo kabisa ! Watu wote wamekomalia Mkataba wa Bandari tu .

Hii maana yake nini ?
Mheshimiwa flani naona mwili umepungua sana hata koti halikai vizuri, kipara Lazima kinyonyoke zaidi

Iko siku Musukuma atasema ukweli
 
Ama kwa hakika hali ni tete, pamoja na kuchukuliwa poa , wananchi wa Tanzania ni kama wameanza kuamka kutoka kwenye usingizi wa pono.

Pamoja na yote yanayoendelea Bungeni kuhusiana na Bajeti ya serikali ya 23/24, lakini wananchi hawajishughulishi nayo kabisa! Watu wote wamekomalia Mkataba wa Bandari tu.

Hii maana yake nini?
Huwezi kupoteza muda kufuatilia upuuzi tupu
 
Ama kwa hakika hali ni tete, pamoja na kuchukuliwa poa , wananchi wa Tanzania ni kama wameanza kuamka kutoka kwenye usingizi wa pono.

Pamoja na yote yanayoendelea Bungeni kuhusiana na Bajeti ya serikali ya 23/24, lakini wananchi hawajishughulishi nayo kabisa! Watu wote wamekomalia Mkataba wa Bandari tu.

Hii maana yake nini?
Nchi huuzwa kupitia bandari tusikubali!
 
Maanayake bandari yetu nimuhimu kuliko hiyo Bajeti kuu.
Bandari ni lango kuu la %zaidi ya 90 ya mizigoyote inayo ingia nchini.
Lazima sisi wenyewe tuwe na uwezo wa kuikagua kuanzia sindano mpaka meli yenyewe inayo ingia kwenye bandari yetu.

Wanao sema tuikodishe eti kwasababu kuna changamoto za kiuendeshaji, watuambie kwanza ukiondoa huo uwekezaji, option nyingine ya kutatua hiyo changamoto ni nini.
 
Ama kwa hakika hali ni tete, pamoja na kuchukuliwa poa , wananchi wa Tanzania ni kama wameanza kuamka kutoka kwenye usingizi wa pono.

Pamoja na yote yanayoendelea Bungeni kuhusiana na Bajeti ya serikali ya 23/24, lakini wananchi hawajishughulishi nayo kabisa! Watu wote wamekomalia Mkataba wa Bandari tu.

Hii maana yake nini?
Gawaneni fito

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom