Taarifa za Bajeti Kuu ya Serikali zapuuzwa, kisanga cha Bandari chaendelea kushika kasi

Mheshimiwa flani naona mwili umepungua sana hata koti halikai vizuri, kipara Lazima kinyonyoke zaidi

Iko siku Musukuma atasema ukweli
 
Huwezi kupoteza muda kufuatilia upuuzi tupu
 
Nchi huuzwa kupitia bandari tusikubali!
 
Maanayake bandari yetu nimuhimu kuliko hiyo Bajeti kuu.
Bandari ni lango kuu la %zaidi ya 90 ya mizigoyote inayo ingia nchini.
Lazima sisi wenyewe tuwe na uwezo wa kuikagua kuanzia sindano mpaka meli yenyewe inayo ingia kwenye bandari yetu.

Wanao sema tuikodishe eti kwasababu kuna changamoto za kiuendeshaji, watuambie kwanza ukiondoa huo uwekezaji, option nyingine ya kutatua hiyo changamoto ni nini.
 
Gawaneni fito

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…